Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,308
- 21,507
Tatizo la Huyu ndugu yenu anashindana Na mtu ambaye hashindani naye! Wakati yeye anawaza nitoe nyimbo halafu niongee Na mashabiki wangu ili nimpite jamaa, mwenzake anawaza wiki hii inabidi nirecord wimbo halafu next week niende Hapo jo'berg nifanye kichupa, nikitoka hapo nitaenda Florida Nina show Kama 3 sijui itakuaje! Nikimaliza show nitarudi dar kumsaidia Hamornize!
Kiba! Badilika bro! Yaani kihalali haikufaa wewe kushindana Na Mondi! Kila nikikumbuka Enzi Za Cinderella, Njiwa, Nakshnakshi, shababi Naona Kabisa jinsi unavyopotea! U have to act as a gentleman!
Fanya Mziki wako wewe Kama wewe! Stick with your plans, acha kushindana Mkuu! Pia punguza kiburi Na kujisikia, mambo hayo waachie Waramba lips kina Blue!
Umemuona AY? Kumbuka yeye Ndio alifungulia Diamond milango ya Nje! Ila Leo Jamaa wala Hana kinyongo nae! Mpaka wametengeneza Zigo remix ona ilivyomrudisha hewani!
Mziki sio vita! Mziki Ni burudani Na kazi! Usitake nikuimbie Mackmuga bhana!
NB; Mimi sina team, wewe Na mwenzio nyie wote Ni wangu!