Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpiga zumari wa ngoma ya mbwa kachoka toka unguja.Kiba ndio nani wakuu
Ok kumbe hapo nimeanza kumuelewa sasa mbona wanamtaja taja ovyo ana nn tofautmpiga zumari wa ngoma ya mbwa kachoka toka unguja.
Mahiri kwenye zumari.Ok kumbe hapo nimeanza kumuelewa sasa mbona wanamtaja taja ovyo ana nn tofaut
Yuko rockstar sema anadai kuna watu amewatoa et ndo walikuwa wana mkwamishaKwaio sahv hayuko chini ya Rockstar400 nn maybe Jide kachukua nafasi yake
Haha huyu jamaa ni Komedi" anajikwamisha mwenyewe tu anasingizia watuYuko rockstar sema anadai kuna watu amewatoa et ndo walikuwa wana mkwamisha
Tuseme ukweli uyu jamaa he's overated then inamgharimu, cyo kwa maruweruwe aya
wacha UTANI mkuu...Apelekwe Sober Bagamoyo kama Chid Benz
eb tumpe mudaLeo nmesikiliza mahojiano ya kiba ndani ya magic FM, jamaa anasema kabadili management yake na kuanzia saiv atakua anatoa nyimbo bampa kwa bampa hakuna kuacha gape
Uyu jamaa game inataka kumshinda, siku anarudi kwenye game alisema kitu ichoicho (bampa kwa bampa) juzi2 kasema sporah show kwamba yy hawezi kutoa nyimbo mara kwa mara maana ni kutojiamini na uoga wa game, na awez kutoa nyimbo kwa msukumo wa watu hivo mashabiki wake wapokee mzik wake kama anavoutoa,leo anarudia upuuz uleule alioukataa. Mara nawashitukiza kama magufuli
Tuseme ukweli uyu jamaa he's overated then inamgharimu, cyo kwa maruweruwe aya