Kiba banaa..!!

Kiba banaa..!!

Dah jamaa anakigunndu sana aisee,jamaa we Kenya Sauti Sol walikuwa kila wakitoa ngoma ni hit song,Haya Sasa Leo wa wamempa na kiba,dadadeki nyimbo CHALEEEEEEE....
 
Tuseme ukweli uyu jamaa he's overated then inamgharimu, cyo kwa maruweruwe aya

Ali Kiba kiusanii yuko vizuri sana.

Sikubaliani nawe kuwa yuko 'overrated', kama unavyodai.

Labda ambacho hana ni haiba kubwa [charisma].

Lakini kipaji cha uimbaji anacho, tena kikubwa tu.

Na kama kweli kasema ana mpango wa kutoa nyimbo kwa mtindo wa bandika bandua, sidhani kama utakuwa ni mkakati mzuri kwani badala ya kufurahisha mashabiki wake anaweza kuishia kuyakifu masikio yao.
 
msanii hutakiwi kukaukaa masikion mwa watu tafuta hata skendo usikike
 
Mi sishangai kwa huu ukigeugeu, kuna kipindi alisema haimbi tena kwa playback ni live kwa kwenda mbele, cha ajabu show zake nyingi bado anafanya playback
 
Leo nmesikiliza mahojiano ya kiba ndani ya magic FM, jamaa anasema kabadili management yake na kuanzia saiv atakua anatoa nyimbo bampa kwa bampa hakuna kuacha gape

Uyu jamaa game inataka kumshinda, siku anarudi kwenye game alisema kitu ichoicho (bampa kwa bampa) juzi2 kasema sporah show kwamba yy hawezi kutoa nyimbo mara kwa mara maana ni kutojiamini na uoga wa game, na awez kutoa nyimbo kwa msukumo wa watu hivo mashabiki wake wapokee mzik wake kama anavoutoa,leo anarudia upuuz uleule alioukataa. Mara nawashitukiza kama magufuli

Tuseme ukweli uyu jamaa he's overated then inamgharimu, cyo kwa maruweruwe aya
eb tumpe muda

labda ni kwel
 
Hao ndo wa Tz ......uchonganishi tu akuna kingine. Eti kisa Fulani yupo ivyo na yy anatakiwa afanye vile.

Muziki kauanza mwenyewe, kwa juhudi zake. Kama akuvutii ww yann kumjadili!?!? Muacheni afanye awezavyo.. Nyie shughulikeni na uyo kipenzi chenu.

Aumpendi? Unamfatilia yann?? Tutabaki kua kichwa cha mwenda wazimu mpaka mwisho kwasababu ya majungu yet ya kiswahili.
 
Back
Top Bottom