Kiba banaa..!!

Tatizo la Huyu ndugu yenu anashindana Na mtu ambaye hashindani naye! Wakati yeye anawaza nitoe nyimbo halafu niongee Na mashabiki wangu ili nimpite jamaa, mwenzake anawaza wiki hii inabidi nirecord wimbo halafu next week niende Hapo jo'berg nifanye kichupa, nikitoka hapo nitaenda Florida Nina show Kama 3 sijui itakuaje! Nikimaliza show nitarudi dar kumsaidia Hamornize!

Kiba! Badilika bro! Yaani kihalali haikufaa wewe kushindana Na Mondi! Kila nikikumbuka Enzi Za Cinderella, Njiwa, Nakshnakshi, shababi Naona Kabisa jinsi unavyopotea! U have to act as a gentleman!

Fanya Mziki wako wewe Kama wewe! Stick with your plans, acha kushindana Mkuu! Pia punguza kiburi Na kujisikia, mambo hayo waachie Waramba lips kina Blue!

Umemuona AY? Kumbuka yeye Ndio alifungulia Diamond milango ya Nje! Ila Leo Jamaa wala Hana kinyongo nae! Mpaka wametengeneza Zigo remix ona ilivyomrudisha hewani!

Mziki sio vita! Mziki Ni burudani Na kazi! Usitake nikuimbie Mackmuga bhana!

NB; Mimi sina team, wewe Na mwenzio nyie wote Ni wangu!
 
Mnatetemeka eeeeh kubadilika kwa mbinu... Maana kipindi anatoa moja kwa mwaka hali ilikuwa mbaya kusikia bampa kwa bampa michupi inabana tulieniiiii mashabiki tumetaka na katusikia sasa Kazi mnayo...
 
Uko sawa sana, kujilinganisha kunaweza kukamponza na lingine ambalo wengi wanabisha ni kuwa Kiba ana dharau sana yan
Diamond ana misifa pia hakuna mkamilifu kila mtu na maisha Yake..
 
Akisema hatoi ngoma mfululizo mnaanzisha thread ya kumponda akisema atatoa ngoma bampa to bampa mnaanzisha uzi mwingine kuhoji mweeeeee sijui aseme nini naamini akisema hatoi ngoma tena utaanzishwa uzi kua ni muoga kweli huwezi kumfurahisha kila mtu.
 

Attachments

  • 1458898790017.jpg
    39.6 KB · Views: 19
Mnatetemeka eeeeh kubadilika kwa mbinu... Maana kipindi anatoa moja kwa mwaka hali ilikuwa mbaya kusikia bampa kwa bampa michupi inabana tulieniiiii mashabiki tumetaka na katusikia sasa Kazi mnayo...
Hajaanza leo kusema bampa to bampa,yakowap? tunam enjoy2
 


Kiba ndo nani??
 
Hata hivyo hongera kwa uvumilivu wa kusikiliza interview ya huyo kiumbe.....

inataka moyo na kujitoa ufaham.
 
Binadamu huwa hakosi la kusema...
 

Attachments

  • 1458898819559.jpg
    39.6 KB · Views: 19
Mi sishangai kwa huu ukigeugeu, kuna kipindi alisema haimbi tena kwa playback ni live kwa kwenda mbele, cha ajabu show zake nyingi bado anafanya playback
Zitaje tano za KWAKE MWENYEWE tangu karudi.
 
Wanampenda,wanamugopa na wanamskiza kwa siri majumbani kwao wanafuatilia kila kitu kuhusu yy hahahahaaaaa jamaa ananfurahisha anavyowaumiza vichwa
 
Kamuulize bob junior kwamba wakati diamond kaenda kuomba kuimba pale sharobaro records.. Alimshirikisha nani kujadili kama diamond arekod au asirekod ?...jibu alimpigia simu kiba kumwambia kuna Dogo hapa vp tumrekodie?..kiba akamwambia kama yuko fresh arekod ila zoez nnalokupa ww uliyepost ni kutafuta ujue wakati kiba anapigiwa simu alikuwa wapi na anafanya nn ?..ndo utajua sasa kwamba kiba ni nani.
 
I used to like I mean His fun..but as days goes on..mmmh...Kiba where is Jojo..why can't you settle down and buildup your family.. Many kids with separate mums is it OK with you as Our Star? Come on Kiba before is too late..cant you take an example from your Friend Chibu???OK..but keep on rolling!!
 
Shida Ni kwamba unaongea kishabiki, Na abadani hutopata njia ya kumsaidia huyo Jamaa mpaka utoe huo ushabiki! Ktk post yangu nimesema Kabisa Kiba kwa Hadhi aliyonayo yeye sio wa kushindina Na Mondi, Kiba Ni mgongwe, Ni sawa Na Kikumbi Mwanza Mpango Maestro King Kingkii aanze kushindana Na Kalala junior, it's unfair!! Ni Kweli Kiba kimziki Ni Mkubwa kuliko Jamaa! Ila Jamaa katumia fursa vizuri Na Anajua kuishi Na watu! Sasa wewe endelea kubisha hivyo hivyo me naendelea kumuangalia Diamond Trace urban saivi.
 
Umenichekeshaaaa !!!sikilizaa Bahati ya MTU haizibwiii!!hayaa asingesema mrekodieee kama Mungu alimpangiaa ivi alivyo Leo iingekuwa tuuu....Wakoo.wapi.wengi wengi waliosaidia Na.hayo akina Bob junior..he wanasurvive mpaka.leoo???he na huyo Bob tupoo wapi kama yeye mrekodia watuu ili wafanikiweee.au watoboe kimaishaa mbona kapitwaa Na MTU aliyemrekodia wimboo...au ndoo unataka kusema.Papa Msofe asingsaidia.Pesa Bob asingepokea??kwa taarifa yyako hakurekodi.Bureee alilipaaa pia Mungu alishamuwekeaa Tick..ninyi.mtakuwa wasindikizaji.Full stop!!!
 
Asante kwa kumjibu vizuri Mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…