Kiba banaa..!!

Kiba banaa..!!

Mnatetemeka eeeeh kubadilika kwa mbinu... Maana kipindi anatoa moja kwa mwaka hali ilikuwa mbaya kusikia bampa kwa bampa michupi inabana tulieniiiii mashabiki tumetaka na katusikia sasa Kazi mnayo...
Teh teh kazi wanayo!!
 
Acha hizo, unaonaonekana ng'ombe tu.
Kwanini msimchukie....anatokea mara tatu nzima kwenye chati hahahahaaaaaaa Kibaaaaaaa...
 

Attachments

  • 1459022417916.jpg
    1459022417916.jpg
    44.8 KB · Views: 24
Ivi nyie mnalumbana nn!?!? Kiba muda huu katulia na familia yake... Anawaza mengine, nyie mmekaa apa kubishana tu..... Laleni bana... Mungu kama kampangia akuna atakae zuia.... Yesu mwenyewe alisulubishwa japo alikuja kutusaidia sisi.... Sembuse kiba !! Kumbukeni.. Kelele za chura azimnyimi tembo kunywa maji....... G9t
 
Umemaliza form four juzi badala ya kwenda kutafuta hata kazi ya kuosha magari, we kutwa unawaza ujinga tu.
Uliyemaliza form four 1911 unakaa unawaza kunijibu nliyemaliza juzi afu sijaomba hata Kazi ya kuosha magari nawaza ujinga tu..simply unanijibu ujinga wangu sasa sijui nani mjinga zaidi hahahahaaaa...
 
Duuuh mkuu unapenda sana ligi, hahahaha noma sana... Naona pwilo kakuachia mikoba rasmi...
Ndo Pwilo mwenywe huyu mkuu...asikuumize kichwa,sema tu ID hii kaamua kuja nayo kivingine yaani kimatusitusi na hoja uvundo!
 
Akili zako azikutoshi.
Siyo Azikutoshi... Unapoweka ukanushi tumia kiambishi awali kunachodokeza ukanushi Mzee so hapo ulitakiwa kuandika "Hazikutoshi"..herufi "H" inadokeza ukanushi hivyo ndo utaeleweka hicho ulichokiandika kwenye kiswahili hakuna.
 
Back
Top Bottom