Iko wapi sasa?
-Nyerere-
Hajaenda studio bado.. Ila verse zote ndio anamalizia kuziandikaBado iko studio nadhan
Hizi tuzo hazitolewi duniani labda afe kwanzaKiba hafai kabisa!
Hii biti ya siyo ya kitoto!
Huyu Jamaa kama akiendelea hivi
Mwakani anachukua TUZO ZA KUFA MTU
Halafu mshikaji anajua kubembeleza watoto!
Big up sana
mbona hiyo ilikua you tube toka mda? nilisilikia ni ya abbyskills ila sijui!Msikilize Jamaa anavyolilia
director pabloMsikilize Jamaa anavyolilia
Hiyo sijaisikia labda hii averina ni kolabo bora kabisa kufanyika chini ya jua tangia alikiba arudiHii ni nyimbo mpya ya Ali Kiba inaitwa "Risabela" inayotofautisha kabisa bongo flavor na Nigerian music.. Hongera Kiba, naona sasa zile radha halisi za bongo zinaanza kurudi na nafikiri wengine wataiga mfano huu.