Kiba kawasha moto "RISABELA" Mji mzima unatikisika.

Kiba kawasha moto "RISABELA" Mji mzima unatikisika.

Ududu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
1,020
Reaction score
556
Hii ni nyimbo mpya ya Ali Kiba inaitwa "Risabela" inayotofautisha kabisa bongo flavor na Nigerian music.. Hongera Kiba, naona sasa zile radha halisi za bongo zinaanza kurudi na nafikiri wengine wataiga mfano huu.
 
Sasa Alikiba Umeshindwa hata kuweka link ya hiyo taka taka yako mpya!?!?
Huku Jf hakuna mambo ya kuzimiwa maiki... Weka taarifa vizuri alaaah!
 
Hiyo ya zamani Sana mbona labda hiyo averina ndo inakaribia kutoka
 
Hii ni nyimbo mpya ya Ali Kiba inaitwa "Risabela" inayotofautisha kabisa bongo flavor na Nigerian music.. Hongera Kiba, naona sasa zile radha halisi za bongo zinaanza kurudi na nafikiri wengine wataiga mfano huu.
Hiyo sijaisikia labda hii averina ni kolabo bora kabisa kufanyika chini ya jua tangia alikiba arudi
 
Ule ushauri wa member mmoja wa jf kwamba alikiba akaimbe kaswida ningeomba alikiba aufwate maana bongofleva ishamshinda.
 
Back
Top Bottom