Kiba kawasha moto "RISABELA" Mji mzima unatikisika.

Hiyo ni mpya kabisa na haijatoka officially, tafuta vionjo vyake YouTube, andika tu "Risabela" itakuja kwani ina viewer wengi sana hapatoshi.
niliiona kama miezi miwili hivi imepita ghafla ikaondolewa trust me!
Labda sasa ndio anataka kuitoa
 
Bado kuna watu wanaskiliza nyimbo za Ali Kibakuli!
 
Melody zilezile badilika kaka tumechoka na melody zake za ki analogy
dah izi tim kiba na tim daimond zinarudisha nyuma mziki,kwa upande wangu mi naona iko poa na hua napenda kazi ya mtu sio mtu
 
Huo wimbo sio wa Ali Kiba....ni jamaa tu ambae kajaribu kuimba kama Ali Kiba.
 
Mi naomba hiyo nyimbo..huku kwetu bukoba hatujaipata mkuu..naomba niwe wa kwanza kuipakua..lete link
 
Hiyo ni mpya kabisa na haijatoka officially, tafuta vionjo vyake YouTube, andika tu "Risabela" itakuja kwani ina viewer wengi sana hapatoshi.
Achen upambe view weng milion miangapi ? [HASHTAG]#kibajet[/HASHTAG] [HASHTAG]#kibahousetabata[/HASHTAG]
 
Huu sio wimbo wa Ally Kiba ni msanii mwingine anaeigiza sauti ya Ali Kiba

Sikiliza kwa makini utagundua hyo sauti si ya Ali mana huyo anaeimba anatetemeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…