Kiba kawasha moto "RISABELA" Mji mzima unatikisika.

Kiba kawasha moto "RISABELA" Mji mzima unatikisika.

Hiyo ni mpya kabisa na haijatoka officially, tafuta vionjo vyake YouTube, andika tu "Risabela" itakuja kwani ina viewer wengi sana hapatoshi.
niliiona kama miezi miwili hivi imepita ghafla ikaondolewa trust me!
Labda sasa ndio anataka kuitoa
 
Bado kuna watu wanaskiliza nyimbo za Ali Kibakuli!
 
Huo wimbo sio wa Ali Kiba....ni jamaa tu ambae kajaribu kuimba kama Ali Kiba.
 
Mi naomba hiyo nyimbo..huku kwetu bukoba hatujaipata mkuu..naomba niwe wa kwanza kuipakua..lete link
 
Hiyo ni mpya kabisa na haijatoka officially, tafuta vionjo vyake YouTube, andika tu "Risabela" itakuja kwani ina viewer wengi sana hapatoshi.
Achen upambe view weng milion miangapi ? [HASHTAG]#kibajet[/HASHTAG] [HASHTAG]#kibahousetabata[/HASHTAG]
 
Huu sio wimbo wa Ally Kiba ni msanii mwingine anaeigiza sauti ya Ali Kiba

Sikiliza kwa makini utagundua hyo sauti si ya Ali mana huyo anaeimba anatetemeka.
 
Back
Top Bottom