jojoe35
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 262
- 378
Kiba sikia nikwambie bro kwenye ukweli tutazungumza, ww na diamond wote ni wasanii wazuri ila usijekudanganyika kuambiwa ww ni bora zaidi ya diamond, jamaa kakuacha mbalii sn aseee!
Uliwai kuponda et kuvua shat stejini wakati wa show kama diamond ni misifa na kujidhalilisha, jana kenya umefanya kilekile ulichoponda,
Hukuwai kuona muhim ya kua na dancers lakin diamond kakufanya utafte,ata dancer wako saiv naona wanaruka sarakasi kama wa WCB
Hukuwai kufikiria kutoa video kali za garama ukasema nikupoteza ela, diamond kakufanya umtafte Godfather
Hukuwai kufikiria kucheza kwenye video zako, diamond kakufanya ucheketue
Uliponda diamond anavuma kwa skendo za wanawake, saiv umechukua moja wa dem zake wa zaman ili naww uvume
Inshot mengi uliyoponda kwa diamond yote unayafanya saivi, swali: KWANINI DIAMOND KAKUBADILI MAWAZO? Iyo ni ishara kua diamond ni mkali wako maana anayejifunza kwa mwenzake ni mwanafunzi kwake
Usikae kusikiliza sifa za mashabiki zako wanakudanganya uko level-A kumbe upo level-V unaridhika na sifa,wanakuzika taratibu
Na nyie mashabiki wa kiba mwambieni ukweli anambwera ili akaze but, kiba hua ni mlevi wa sifa mnapokua mnamsifia akat anambwera kila kukicha mnamzika
"ATA IVO HONGERA KWA TUZO YA KIATU CHA MPIRA"