Kiba mashabiki wako wanakuzika

Kiba mashabiki wako wanakuzika

jojoe35

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
262
Reaction score
378
Kiba sikia nikwambie bro kwenye ukweli tutazungumza, ww na diamond wote ni wasanii wazuri ila usijekudanganyika kuambiwa ww ni bora zaidi ya diamond, jamaa kakuacha mbalii sn aseee!

Uliwai kuponda et kuvua shat stejini wakati wa show kama diamond ni misifa na kujidhalilisha, jana kenya umefanya kilekile ulichoponda,

Hukuwai kuona muhim ya kua na dancers lakin diamond kakufanya utafte,ata dancer wako saiv naona wanaruka sarakasi kama wa WCB

Hukuwai kufikiria kutoa video kali za garama ukasema nikupoteza ela, diamond kakufanya umtafte Godfather

Hukuwai kufikiria kucheza kwenye video zako, diamond kakufanya ucheketue

Uliponda diamond anavuma kwa skendo za wanawake, saiv umechukua moja wa dem zake wa zaman ili naww uvume

Inshot mengi uliyoponda kwa diamond yote unayafanya saivi, swali: KWANINI DIAMOND KAKUBADILI MAWAZO? Iyo ni ishara kua diamond ni mkali wako maana anayejifunza kwa mwenzake ni mwanafunzi kwake

Usikae kusikiliza sifa za mashabiki zako wanakudanganya uko level-A kumbe upo level-V unaridhika na sifa,wanakuzika taratibu

Na nyie mashabiki wa kiba mwambieni ukweli anambwera ili akaze but, kiba hua ni mlevi wa sifa mnapokua mnamsifia akat anambwera kila kukicha mnamzika

"ATA IVO HONGERA KWA TUZO YA KIATU CHA MPIRA"
 
Mmmh King bado yupo mbele zaid ya uyo mondi wako labda kwa kuwa hujui sifa za msanii bora
 
Tatizo ni kuelewa kwao kwamba muandiko mzuri unamfaulisha mwanafunzi mtihani.. Ndio maana wanakesha kusifu sauti, kitu ambacho sio mziki maana kwa sauti tu wakina psquare, 2face, Diamond, dbanj, davido na wizkid wote wanazidiwa sauti nzuri na alikiba, mayunga, wema sepetu, christian bela obama, na hasa madogo wanaotoka bongostarsearch huwa wanasauti nzuri sana tungewasikia wakifanya vizuri
 
Ni kweli kiba anafuata nyayo za @D.Platnumz ili nae asikike kwa zile nyodo za Dai basis tengeza yako we so ulicemaga King mi mboni siuoni ukingi wako?
 
Sioni umaana wakuitwa king alafu unakopy kila kitu cha diamond na bado anakupiku
 
lazima mjue kutofautisha kati ya x na kuzidisha + na msalaba huyo ndio mafia mond kumuiga lazima
 
Pia kijamaa kinadharau sana tena sana ( kuna jamaa yangu alikuwa besti yake sana ) kanajiona chenyewe ndo kila kitu kisa kuna vimtu vinamsifia kuwa kanasauti nzuri kuliko Hadija koppa na vile alivyosifiwa na madam wake a.k.a sepetunga kakajiona chenyewe ndo kimefika na ndo kinajua kumbe wenzake wanataka wapate pa kutolea stress za kuachwa. Pamoja na mbinu zote za mafanikio ya kimuziki utakazozifanya lakini pia heshimu watu wako wanaokuwezesha watu wote wanaokuzunguuka wana michango yao kwako hata kama wewe ndo unawapa mshahara kiba hawaeshimu watu wake.
 
Teh...... Cc .....?!?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom