Kiba & Mondi wapo pamoja studio

''Sasa waambie dada zao kariakoo waje ulaya''
 
Wabongo hawawezi kumaliza ubishani, kama wakitoa nyimbo ya pamoja utasikia wanadai mmoja kamfunika mwenzie. Watu wanakera sana.
 
Wabongo hawawezi kumaliza ubishani, kama wakitoa nyimbo ya pamoja utasikia wanadai mmoja kamfunika mwenzie. Watu wanakera sana.
Wanakera Sana mkuu ila wanaokera wengi ni timu diamond yaan wanataka Tanzania nzima asikike yeye tu
 
Sasa kwann usiseme tu Africa? Au hujui maana ya kimataifa?? Kimataifa it means hadi Us, UK n.k acheni kumkuza huyo domo wenu hajafikia level hizo
Alikuwa kwenye ziara juzi ulaya, na kuna chati za uingereza anakimbiza na wimbo wake na P-square.
Ali kiba chat aliyopo ni ya clouds tuu
Labda na redio za Kenya
 
Sasa ilo si anguko lajamaa mfalme hewa ataishije bila kutelezea kik
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…