Kiba & Mondi wapo pamoja studio

Kiba & Mondi wapo pamoja studio

Huku Pwani tunasema: KIKICHOMPATA MAMBA, NA BOKO KITAMPATA
 
Sio kelele bali kusema diamond anataka kumtoa kiba mda huu ukimanisha kwamba kiba bado ni underground?? hahah mpunguze munkari waachen wafanye hio colabo kila mtu ana heshima yake na kwa nafasi yake kimuziki.
Kweli mkuu halaf Hawa timu domo ndo wametoa povu Sana maana wanapenda bifu kuliko hata huyo domo wao,
 
Nimesema amtoe kimataifa, kwa kuwa kolabo yao ikifanyika itamtangaza zaidi Kiba kuliko Domo, Domo asha imba na AKA,na P-Square sasa kuimba na Kiba kuta mpeleka wapi!!?
Nimeongea ukweli ila nilijua kuna watu uta waumiza.
*Kiba si msanii mbaya ila Kiba pia bado hajatoboa kama alivo toboa Domo.

Ukweli mchungu ila ndio tu ukubali
Aah kwendreee zenu kumuhusudu huyo domo Kama Mungu wenu mfyuuu
 
Aah kwendreee zenu kumuhusudu huyo domo Kama Mungu wenu mfyuuu
[emoji23]
Alafu wala hata simuabudu uwa namponda akizingua, siku ile nilikwambia mi shabiki mkweli

Heshima inatolewa kwa anaye stahili.
Tuko pamoja me and I ,we tumetoka mbali sana
 
Back
Top Bottom