Kiba & Mondi wapo pamoja studio

Kiba & Mondi wapo pamoja studio

hii kitu kama hii picha
C UADUI.jpg
 
Kumbe Kenya inaweza kufanya maadui kupatana. Nafikiri hili limetendeka baada ya chama cha ODM huko Kenya kuwakutanisha jukwaa moja, jambo ambalo limetushinda sisi Wabongo. Mungu aibariki Kenya.
 
Back
Top Bottom