me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Kupambana?? Kwani kuna mbambano ??Ahahaaaah...
Naona unaendelea kupambana mwanamama..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupambana?? Kwani kuna mbambano ??Ahahaaaah...
Naona unaendelea kupambana mwanamama..!
Umeona eheeeYaani hiyo kukubaliwa kufanya na mzee wa Rnb Kama R Kelly hiyo inatosha kwamba anajua, swali ni je R Kelly anamjua huyo diamond
Na szan kama r.Kelly bado anamkumbuka kiba nahisi ukimuuliza ata Leo kama anamujua kiba anaweza akakuuliza who is that bitchUmeona eheee
UHODARI wako wa kumjibu kila mtu anayejudge UWEZO wa Ali Kiba katika hili JUKWAA ni zaidi ya UPAMBANAJI..!Kupambana?? Kwani kuna mbambano ??
Wanakera Sana mkuu ila wanaokera wengi ni timu diamond yaan wanataka Tanzania nzima asikike yeye tuWabongo hawawezi kumaliza ubishani, kama wakitoa nyimbo ya pamoja utasikia wanadai mmoja kamfunika mwenzie. Watu wanakera sana.
Na seven nae ni Photoshop![]()
Hii picha sio ya kweli watu wamefanya yao a.k.a photoshop.
HahahaAngekuwa hajui angepiga colabo na kina R Kelly.. U can't be serious
Swali ni je R kelly bado ana mkumbuka Kiba!!? [emoji1]Yaani hiyo kukubaliwa kufanya na mzee wa Rnb Kama R Kelly hiyo inatosha kwamba anajua, swali ni je R Kelly anamjua huyo diamond
Alikuwa kwenye ziara juzi ulaya, na kuna chati za uingereza anakimbiza na wimbo wake na P-square.Sasa kwann usiseme tu Africa? Au hujui maana ya kimataifa?? Kimataifa it means hadi Us, UK n.k acheni kumkuza huyo domo wenu hajafikia level hizo
Huyu kama yeye ni mpiganaji kabsa kabsaUHODARI wako wa kumjibu kila mtu anayejudge UWEZO wa Ali Kiba katika hili JUKWAA ni zaidi ya UPAMBANAJI..!
AnamkumbukaSwali ni je R kelly bado ana mkumbuka Kiba!!? [emoji1]
Ali Kiba akichukua tuzo ya MtvAnamkumbuka