Kiba & Mondi wapo pamoja studio

Acheni Kupotosha Umma, Hakuna Collabo yotote na wala Msanii wangu hana mpango wa Kufanya Collabo na Diamond, Wanatafuta Kiki kwaku Edit na Kufanya Photoshop kama hizo. Naomba Mpuuze hiyo Picha.
Hahhaaha unamiliki msaniii wakati hapa jf hata wiki huna.
 
Laiti kama ningekujibu nilichotaka kukujibu basi ban ingenihusu.
Ila kaa ukijua wewe ni mpuuzi,yafaa kupuuzwa.
Period
Hasa matusi ya nini!!? We kama mjanja si uweke facts hapo, Kiba alicho mzidi domo ni nini!!?
wenzako wanao kuja vizuri tunaelezana.

*Kiba bado hajamfikia domo kimataifa.
Nifah
 
Hahhaaha unamiliki msaniii wakati hapa jf hata wiki huna.
Kwani Jf ndo kigezo cha kumiliki Msanii? Mbona akili zako zinafanana na Zao? Masikini mnamuota sana AK ili mfanye nae Collabo. Hata kama tungekua tuna nia hiyo, ni wazi hamuwezi kukubali, kutokana na huyo dogo wenu kuhofia kufunikwa.
 
All the best hizi team ujinga tu!
Ndo maana sasa hivi wala sina timu!
 
All the best hizi team ujinga tu!
Ndo maana sasa hivi wala sina timu!
Ni vizuri kuto kuwa na timu ila uwe mkweli, mbona reality inajieleza kabisa.
Nampenda domo zaidi lakini simchukii Kiba, ila sipendi ku pretend kuwa Kiba kamzidi domo
Kwanza ntasema kamzidi kwa lipi!!?
 
Hahaha
Sina tatizo mkuu
Kiba bado ni msanii mzuri na wa kimbo lakini napinga tuu kumfananisha na domo
Mie sijamfananisha Kiba na domo,mie mwenyewe sijui watu wanawashindanisha kwa lipi?
 
Kwani Jf ndo kigezo cha kumiliki Msanii? Mbona akili zako zinafanana na Zao? Masikini mnamuota sana AK ili mfanye nae Collabo. Hata kama tungekua tuna nia hiyo, ni wazi hamuwezi kukubali, kutokana na huyo dogo wenu kuhofia kufunikwa.
Hahaha wcb inatambulika africa na baadhi ya pande za dunia je kibakuli hata mombasa hawamuelew huhuhhuhu kazi kukodi zomeazomea
 
Mkuu Iceman 3D ,unawaona team kibakuli washaanza kutoa mapovu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hao hao juzi nilipo sema Kiba kapga hela nyingi kule Mombasa wali furahi kweli na ma like kibao.

Leo nawaambia ukweli wana niambia namuabudu mondi. Mimi mkuu ni shabiki wa muziki na napenda facts. (Sema nimetoa maneno ya kichochezi kweli [emoji1] )

*ukiwa blinded na timu ni shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…