the event
Member
- Nov 7, 2013
- 83
- 20
Hahaha....naskia KING kaomba kusainishwa WCB..[emoji23]Safi ni muda wa Mondi kumtoa Ali Kiba naye ajulikane kimataifa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha....naskia KING kaomba kusainishwa WCB..[emoji23]Safi ni muda wa Mondi kumtoa Ali Kiba naye ajulikane kimataifa sasa
Laiti kama ningekujibu nilichotaka kukujibu basi ban ingenihusu.Safi ni muda wa Mondi kumtoa Ali Kiba naye ajulikane kimataifa sasa
Hahhaaha unamiliki msaniii wakati hapa jf hata wiki huna.Acheni Kupotosha Umma, Hakuna Collabo yotote na wala Msanii wangu hana mpango wa Kufanya Collabo na Diamond, Wanatafuta Kiki kwaku Edit na Kufanya Photoshop kama hizo. Naomba Mpuuze hiyo Picha.
Siwezi kushangaa.[emoji1]
Hilo sija wahi kusikia kwa kweli
Hasa matusi ya nini!!? We kama mjanja si uweke facts hapo, Kiba alicho mzidi domo ni nini!!?Laiti kama ningekujibu nilichotaka kukujibu basi ban ingenihusu.
Ila kaa ukijua wewe ni mpuuzi,yafaa kupuuzwa.
Period
Kwani Jf ndo kigezo cha kumiliki Msanii? Mbona akili zako zinafanana na Zao? Masikini mnamuota sana AK ili mfanye nae Collabo. Hata kama tungekua tuna nia hiyo, ni wazi hamuwezi kukubali, kutokana na huyo dogo wenu kuhofia kufunikwa.Hahhaaha unamiliki msaniii wakati hapa jf hata wiki huna.
HahahaSiwezi kushangaa.
Watarudi msanga kucheza mdundiko!!!Kuna watu wanategemea kula kupitia bifu la hawa jamaa hata humu JF wapo, sasa wataishije?
Ni vizuri kuto kuwa na timu ila uwe mkweli, mbona reality inajieleza kabisa.All the best hizi team ujinga tu!
Ndo maana sasa hivi wala sina timu!
Mie sijamfananisha Kiba na domo,mie mwenyewe sijui watu wanawashindanisha kwa lipi?Hahaha
Sina tatizo mkuu
Kiba bado ni msanii mzuri na wa kimbo lakini napinga tuu kumfananisha na domo
Hahaha wcb inatambulika africa na baadhi ya pande za dunia je kibakuli hata mombasa hawamuelew huhuhhuhu kazi kukodi zomeazomeaKwani Jf ndo kigezo cha kumiliki Msanii? Mbona akili zako zinafanana na Zao? Masikini mnamuota sana AK ili mfanye nae Collabo. Hata kama tungekua tuna nia hiyo, ni wazi hamuwezi kukubali, kutokana na huyo dogo wenu kuhofia kufunikwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu Iceman 3D ,unawaona team kibakuli washaanza kutoa mapovu
[emoji1]Hahaha....naskia KING kaomba kusainishwa WCB..[emoji23]