DuuhWatarudi msanga kucheza mdundiko!!!
Ningekuwa huyo jamaa,basi habari za Mondi zote zingekuwa nazianzisha mimi.Lakini tangu nimejiunga JF sijawahi kuweka habari zake.Sawaa kifesi msemaji wa mondi [emoji28]
Povu la nini team wemaLaiti kama ningekujibu nilichotaka kukujibu basi ban ingenihusu.
Ila kaa ukijua wewe ni mpuuzi,yafaa kupuuzwa.
Period
Kivipi?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Duuh
Halafu kumbe umekuja kivingine!!, safi sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kivipi?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ki hivo ulivo badilisha pic
Upo vizuri
picha sikatai ila kufanya ngoma pamoja ni ngumu labda miaka 5 ijayo,ukumbuke tu juzi juzi meneja wake diamond kaandika vijembe kuhusu kiba kwenye ile show ya kenya waliofanya pamoja bila kujijuaKwahyo unakataa hyo picha si kweli?
Mkuu upo sahihi kabisa,tatizo kubwa analokabiliana na domo ni hizi team zao za ajabu ajabu,usikute anaemkandia domo na kumsifia kiba hata mziki haujui anajua tu madam wake kapost nin uko ig,domo anapambana na team nyingi sana lakin bado wamekaa,kuna team kiba,team wema na nyinginezo,mfano Nifah ni team wema yeye kila siku kumkandia domo tu badilika Nifah tunataka msanii wa kuitangaza Tanzania kimataifa kama Kanumba sio hao kina kiba miaka nenda rudi wapo locallyUsisahau neno Kimataifa hapo, nnacho maanisha Kiba akiimba na domo ataongeza kujulikana.
Ila domo hana cha kuongeza kwa sababu kwa soko la kimataifa he z way up there. Sasa Kiba amtoe domo ampeleke wapi tena wakati domo ashaimba na kina davido.
Kibongo bongo Ali alishatoka tena kabla ya domo, ila ki international, Ali hamfikii domo hiyo ni wazi.
*Kiba bado ni msanii mzuri, ila hajamfikia domo kujulikana na kupata mafanikio nje ya nchi yetu
Aa hapo ni cute gelo, ila mpaka nione churaaa! Ndo ntajua kama ni beautiful gelo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
byutiful gelo!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Chura anarukaruka....Aa hapo ni cute gelo, ila mpaka nione churaaa! Ndo ntajua kama ni beautiful gelo.
Nadhani yule jamaa,(mwenye jina la dawa) ana jituma kwli kukutunza.
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17671881Safi ni muda wa Mondi kumtoa Ali Kiba naye ajulikane kimataifa sasa
Mkuu nashukuru kwa kuwa muelewa, na uzuri ni kuwa wakati wanamsema domo mwenzao ana zidi kufanya kazi.Mkuu upo sahihi kabisa,tatizo kubwa analokabiliana na domo ni hizi team zao za ajabu ajabu,usikute anaemkandia domo na kumsifia kiba hata mziki haujui anajua tu madam wake kapost nin uko ig,domo anapambana na team nyingi sana lakin bado wamekaa,kuna team kiba,team wema na nyinginezo,mfano Nifah ni team wema yeye kila siku kumkandia domo tu badilika Nifah tunataka msanii wa kuitangaza Tanzania kimataifa kama Kanumba sio hao kina kiba miaka nenda rudi wapo locally
All the best hizi team ujinga tu!
Ndo maana sasa hivi wala sina timu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Chura anarukaruka....
Msambwanda upooo....kidogo amazing flani hivii!!!
Acha majungu weweee....!!
Mtuache 199yrs!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asanteFinally, someone has wised up!
Big up to you.
Muulize vizuri panadol....!Niko vizuri!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama upo bas beautiful
Aaah wala sio majungu mbona[emoji1]
Mi wivu sina sema tuu roho ndo inauma[emoji87]