Kiba & Mondi wapo pamoja studio

Huku Pwani tunasema: KIKICHOMPATA MAMBA, NA BOKO KITAMPATA
 
Sio kelele bali kusema diamond anataka kumtoa kiba mda huu ukimanisha kwamba kiba bado ni underground?? hahah mpunguze munkari waachen wafanye hio colabo kila mtu ana heshima yake na kwa nafasi yake kimuziki.
Kweli mkuu halaf Hawa timu domo ndo wametoa povu Sana maana wanapenda bifu kuliko hata huyo domo wao,
 
Aah kwendreee zenu kumuhusudu huyo domo Kama Mungu wenu mfyuuu
 
Aah kwendreee zenu kumuhusudu huyo domo Kama Mungu wenu mfyuuu
[emoji23]
Alafu wala hata simuabudu uwa namponda akizingua, siku ile nilikwambia mi shabiki mkweli

Heshima inatolewa kwa anaye stahili.
Tuko pamoja me and I ,we tumetoka mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…