Kiba na Diamond wagoma kuimba wimbo wa hamasa kwa Serengeti Boys

Nape anajua mwenyewe kulikuwa na majadiliano gani baina yao. Siku anapigwa chini, nilijua tu mipango ya hamasa Serengeti boys imekufa tayari, otherwise Mwakyembe aje na stratergy zake yeye mwenyewe ambazo ataweza zicommand.
hii ndio Tanzania, kiongozi akiondoka anaondoka na mipango yake....
hilo jukumu lingekuwa limesimamiwa na idara ya michezo wizarana mipango inngeendelea kuwa intact.
 
Samatta kaimbwa na Darasa ktk wimbo wa muziki Mavoko pia ktk kokolo sio kwasababu waliombwa kufanya hivyo no ila mafanikio ya Samatta so Serengeti wafanye vizur wataimbwa tu tena na kila mtu hata asie mwanamuziki
 
Nape anajua mwenyewe kulikuwa na majadiliano gani baina yao. Siku anapigwa chini, nilijua tu mipango ya hamasa Serengeti boys imekufa tayari, otherwise Mwakyembe aje na stratergy zake yeye mwenyewe ambazo ataweza zicommand.
hii ndio Tanzania, kiongozi akiondoka anaondoka na mipango yake....
hilo jukumu lingekuwa limesimamiwa na idara ya michezo wizarana mipango inngeendelea kuwa intact.
Mnyonyoka ngozi hawezi ile wizara
 
Uzalendo ni kujitoa kwaajili ya manufaa ya nchi yako!

kwani kutoa wimbo wataifa uwape vijana inacost bei gani?

Tuweke tofauti zetu pembeni tulisaidie taifa
Kabla ya kuwalaumu Kiba na Diamond, na sisi tujiulize tumefanya nini cha kizalendo kwa hao vijana wetu wanaotuwakilisha vema katika ulimwengu wa mpira. Maana hii nafananisha na kilichotokea huko Bungeni wawakilishi wetu walipoombwa kumchangia miss Tanzania ili aweze kutuwakilisha katika shindano la kimataifa, nadhani kila mtu anajuwa kilichotokea. Naamini tukiambiwa upite mchango wa tsh.10000 @ hapa JF Ku support Serengeti boys sidhani kama tutaongea hizi lugha za uzalendo.
 
Kama yupo serious na tunataka kitu kizuri ni vizuri tuwalipe kwa huduma yao. Tukitaka vya bure tutakosa nguvu ya ku dictate terms na kuishia kukubali chochote watakachohiari kutupa.
 
Kwan wakitoa hizo nyimbo wakati serengeti boys wanacheza mpira zitakuwa zinapgwa uwanjani
 
Sioni cha ajabu, kama kesi kakataa kukatwa 30,000/= tu mwenye miposho posho yake itokanayo na kodi zetu kwa ajili ya yule mlimbwende itakua Diamond na kiba ambao posho yao inategemea sauti zao!!
Kwanza waziri mwenyewe aliyesema atawakutanisha hana mvuto wa kuweza kuwaunganisha wasanii kama alivyojinasibu kua atawapatanisha Diamond na kiba, Mwakyembe hii wizara anailazimisha tu na itampa sana shida wadau watakapozidi kumgomea
 
Wanabodi

Hapo awali kuliripotiwa habari za kuimba wimbo wa pamoja utakaowajumuisha wasanii wakuu wawili hapa nchini kwaajili ya kutoa "hamasa" kwa vijana wetu serengeti boys watakapoenda kutuwakilisha katika mashindano ya mpira wa miguu barani Africa kwa vijana chini ya miaka 17

Habari zilizopo sasa ni kwamba Alli Kiba na Diamond wamegoma kushiriki kuimba wimbo huo ili kuwajaza hamasa vijana wetu

Kiukweli hawa wasanii kitendo hiki si cha kiuzalendo kabisa!
kwani serengeti boys ni timu ya taifa na inahitaji kila mtanzania ajitoe kuisapo kwa namna yoyote ile!

moja kwa moja hawa wasanii wetu bado wanaendeshwa na bifu na timu zao zisizo hata na viwanja, "inasikitisha" kwa kweli

Watanzania tuungane pamoja tuwahamasishe vijana wetu watatutoa kimasomaso,
Shame on you Kiba
Shame on you Diamond

Weka ushahidi tumsikie Diamond alivyogoma, Weka ushahidi tumsikie au tumuone Kiba alivyogoma. Isijekuwa umeota ndotoni tu, halafu unataka watu watukane bure. WEKA USHAHID TAFADHALI.
 
Weka mkwanja mezani uone kama hawataimba
 
Mavi na Mkojo ukichanganya hiyo Harufu Yake Aisee ni Balaa Buluu Bora Wakae kimya [HASHTAG]#Hamorapa[/HASHTAG] Ataimba tyuu Siku Hazigandi Jiwe walilolikataa Waashi litakuwa jiwe kuu La pembeni Viva Serengeti Boys
 
Wanabodi

Hapo awali kuliripotiwa habari za kuimba wimbo wa pamoja utakaowajumuisha wasanii wakuu wawili hapa nchini kwaajili ya kutoa "hamasa" kwa vijana wetu serengeti boys watakapoenda kutuwakilisha katika mashindano ya mpira wa miguu barani Africa kwa vijana chini ya miaka 17

Habari zilizopo sasa ni kwamba Alli Kiba na Diamond wamegoma kushiriki kuimba wimbo huo ili kuwajaza hamasa vijana wetu

Kiukweli hawa wasanii kitendo hiki si cha kiuzalendo kabisa!
kwani serengeti boys ni timu ya taifa na inahitaji kila mtanzania ajitoe kuisapo kwa namna yoyote ile!

moja kwa moja hawa wasanii wetu bado wanaendeshwa na bifu na timu zao zisizo hata na viwanja, "inasikitisha" kwa kweli

Watanzania tuungane pamoja tuwahamasishe vijana wetu watatutoa kimasomaso,
Shame on you Kiba
Shame on you Diamond
kwa taarifa tuu ni kwamba Diamond alishaingiza sauti kwenye huo wimbo aliyekuwa ana subiriwa ni Kiba tuu
 
Afadhal huo ndio muda wa underground artists kuonesha vipaj vyao katika huo wimbo ili watoke
 
swali la kizushi.

Kuna siku simba itakuja kuzaa jezi za kijana na njano then yanga kuvaa za Nyekundu na nyeupe wakapiga friendly match
 
Wanabodi

Hapo awali kuliripotiwa habari za kuimba wimbo wa pamoja utakaowajumuisha wasanii wakuu wawili hapa nchini kwaajili ya kutoa "hamasa" kwa vijana wetu serengeti boys watakapoenda kutuwakilisha katika mashindano ya mpira wa miguu barani Africa kwa vijana chini ya miaka 17

Habari zilizopo sasa ni kwamba Alli Kiba na Diamond wamegoma kushiriki kuimba wimbo huo ili kuwajaza hamasa vijana wetu

Kiukweli hawa wasanii kitendo hiki si cha kiuzalendo kabisa!
kwani serengeti boys ni timu ya taifa na inahitaji kila mtanzania ajitoe kuisapo kwa namna yoyote ile!

moja kwa moja hawa wasanii wetu bado wanaendeshwa na bifu na timu zao zisizo hata na viwanja, "inasikitisha" kwa kweli

Watanzania tuungane pamoja tuwahamasishe vijana wetu watatutoa kimasomaso,
Shame on you Kiba
Shame on you Diamond
[emoji14] [emoji14] [emoji14]
Mzalendo ni hamoraper ye ataimba[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom