Kiba na Diamond wagoma kuimba wimbo wa hamasa kwa Serengeti Boys

Kiba na Diamond wagoma kuimba wimbo wa hamasa kwa Serengeti Boys

sawa tu maana yeye si dr. wala hajathibitisha hilo hata mimi naweza mwita yeye mwendawazimu na haifanyi kuwa kweli.

aende akafanye yeye huo wimbo wala haina shida
 
Hahaaa tena ange ongezea na tusi jingne juu
 
Wimbo wa serengeti? Kwani wao TFF walisaidia kumpromote Diamond hadi akafika level aliyopo sasa hivi? Kama wanataka promotion ya mpira wao watoe pesa, siyo wanakaa wanakula pesa tu ofisini halafu wategemee watu wengine waliosota kuhangaikia mafanikio wawasaidie kutangaza mpira wao.
 
Tupe habari kamili, kwanini walikataa kutengeneza wimbo huo. Kama sababu zao sio za msingi basi kweli ni wendawazimu
 
Nani Aliye Ratibu Au Aliyetoa Wazo Hlo La Wanamuziki Kuimba? Labda Tuanzie Hapo. Maana Kuna Watu Vihele Hele, Halafu Unakuja Kulaumu Watu. Kila Mtu Ana Ratiba Zake Za Maisha, Km Nafasi Ipo Sawa Lkn Km Wanamambo Yao, Co Kuwalaumu. Co Lazma Waende Wanamzk, Wanaweza Wakaenda Bongo Movie, Au Tasnie Nyingine Kuwatia Moyo Na Wote Kwapamoja Wakaimba Wimbo Wa Taifa, Ingependeza. Watu Wajifunze Kujitegemea, Ukiishi Kwa Kutegemea Watu Utabaki Kulaumu. "NI MTOTO TU NDO ANAHAKI YA KULAUMU MTU, MTU MZIMA HUJILAUMU AU KUJUTIA". Kwasababu Yanayotukuta Mengi Chanzo Chake Ni Sisi Wenyewe. Kumlaumu Mtu Ni Kujitetea Tu Au Kukwepa Wajibu Wako.
 
Hivi Tanzania nani ni mzalendo? Nipe mtu mmoja tu anafanya kazi bure kwa ajili ya taifa, si jeshi, wanasiasa mpaka Rais kila mtu anachukua chake labda huyo Trump ndi hataka mshahara. Hata hao TFF ni pesa tu kama definition ya mzalendo ni free of charge then hakuna wazalendo.
Nimeipenda sana comment mkuu...... Very true
 
Back
Top Bottom