Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Mnyonyoka ngozi hawezi ile wizaraNape anajua mwenyewe kulikuwa na majadiliano gani baina yao. Siku anapigwa chini, nilijua tu mipango ya hamasa Serengeti boys imekufa tayari, otherwise Mwakyembe aje na stratergy zake yeye mwenyewe ambazo ataweza zicommand.
hii ndio Tanzania, kiongozi akiondoka anaondoka na mipango yake....
hilo jukumu lingekuwa limesimamiwa na idara ya michezo wizarana mipango inngeendelea kuwa intact.
Kabla ya kuwalaumu Kiba na Diamond, na sisi tujiulize tumefanya nini cha kizalendo kwa hao vijana wetu wanaotuwakilisha vema katika ulimwengu wa mpira. Maana hii nafananisha na kilichotokea huko Bungeni wawakilishi wetu walipoombwa kumchangia miss Tanzania ili aweze kutuwakilisha katika shindano la kimataifa, nadhani kila mtu anajuwa kilichotokea. Naamini tukiambiwa upite mchango wa tsh.10000 @ hapa JF Ku support Serengeti boys sidhani kama tutaongea hizi lugha za uzalendo.Uzalendo ni kujitoa kwaajili ya manufaa ya nchi yako!
kwani kutoa wimbo wataifa uwape vijana inacost bei gani?
Tuweke tofauti zetu pembeni tulisaidie taifa
Wanabodi
Hapo awali kuliripotiwa habari za kuimba wimbo wa pamoja utakaowajumuisha wasanii wakuu wawili hapa nchini kwaajili ya kutoa "hamasa" kwa vijana wetu serengeti boys watakapoenda kutuwakilisha katika mashindano ya mpira wa miguu barani Africa kwa vijana chini ya miaka 17
Habari zilizopo sasa ni kwamba Alli Kiba na Diamond wamegoma kushiriki kuimba wimbo huo ili kuwajaza hamasa vijana wetu
Kiukweli hawa wasanii kitendo hiki si cha kiuzalendo kabisa!
kwani serengeti boys ni timu ya taifa na inahitaji kila mtanzania ajitoe kuisapo kwa namna yoyote ile!
moja kwa moja hawa wasanii wetu bado wanaendeshwa na bifu na timu zao zisizo hata na viwanja, "inasikitisha" kwa kweli
Watanzania tuungane pamoja tuwahamasishe vijana wetu watatutoa kimasomaso,
Shame on you Kiba
Shame on you Diamond
kwa taarifa tuu ni kwamba Diamond alishaingiza sauti kwenye huo wimbo aliyekuwa ana subiriwa ni Kiba tuuWanabodi
Hapo awali kuliripotiwa habari za kuimba wimbo wa pamoja utakaowajumuisha wasanii wakuu wawili hapa nchini kwaajili ya kutoa "hamasa" kwa vijana wetu serengeti boys watakapoenda kutuwakilisha katika mashindano ya mpira wa miguu barani Africa kwa vijana chini ya miaka 17
Habari zilizopo sasa ni kwamba Alli Kiba na Diamond wamegoma kushiriki kuimba wimbo huo ili kuwajaza hamasa vijana wetu
Kiukweli hawa wasanii kitendo hiki si cha kiuzalendo kabisa!
kwani serengeti boys ni timu ya taifa na inahitaji kila mtanzania ajitoe kuisapo kwa namna yoyote ile!
moja kwa moja hawa wasanii wetu bado wanaendeshwa na bifu na timu zao zisizo hata na viwanja, "inasikitisha" kwa kweli
Watanzania tuungane pamoja tuwahamasishe vijana wetu watatutoa kimasomaso,
Shame on you Kiba
Shame on you Diamond
[emoji14] [emoji14] [emoji14]Wanabodi