Wimbo ndo unacheza uwanjani? Wimbo ndo unafunga magoli?? Uzalendo uonyweshe na Chama cha Soka na Wachezaji acheni kutafta wa kumtupia Lawama andaeni timuUzalendo ni kujitoa kwaajili ya manufaa ya nchi yako!
kwani kutoa wimbo wataifa uwape vijana inacost bei gani?
Tuweke tofauti zetu pembeni tulisaidie taifa
upo shimela..??..lege karudi kule na monica wake....kwakweli hawajakosea aliyewaunganisha ni Nape na hayupo wagome tu kuimba kwani lazima msiwapangie
waambieni TOT waimbe!
shemela umepotea nimeshapita nasubili season 4upo shimela..??..lege karudi kule na monica wake....
Uzalendo pia ni pamoja na kuonyesha kwamba Ryan Babel hampendi Jodoki Kalimilo na hayupo tayari kufanya nae kazi pamoja kwa sasa mpaka hapo moyo utakapoamua na si kwa shinikizo la watu....mkilazimisha huo utakuwa sio uzalendo bali ni unafikiUzalendo ni kujitoa kwaajili ya manufaa ya nchi yako!
kwani kutoa wimbo wataifa uwape vijana inacost bei gani?
Tuweke tofauti zetu pembeni tulisaidie taifa
dah...ha ha haa!Usiwapangie.
Diamond Ni mzalendo Si analipa kodiUzalendo ni kujitoa kwaajili ya manufaa ya nchi yako!
kwani kutoa wimbo wataifa uwape vijana inacost bei gani?
Tuweke tofauti zetu pembeni tulisaidie taifa
Uzalendo sio chuki wala unafiki!Uzalendo pia ni pamoja na kuonyesha kwamba Ryan Babel hampendi Jodoki Kalimilo na hayupo tayari kufanya nae kazi pamoja kwa sasa mpaka hapo moyo utakapoamua na si kwa shinikizo la watu....mkilazimisha huo utakuwa sio uzalendo bali ni unafiki
Kulipa kodi ni wajibu wake!Diamond Ni mzalendo Si analipa kodi