Umtama Mula
Senior Member
- Jan 11, 2021
- 171
- 496
Nakumbuka timu yetu ya darasa miaka hiyo tukiwa Chuo, Ile timu tulikuwa na wachezaji 10. Hatukuwa na Subs, Ili tutimie 11 kwa mjibu wa utaratibu, ilikuwa tunalazimika kumuweka mtu Ili tu kutimiza idadi ya wachezaji.
Inashangaza timu kama yanga wanafanya kile tulichokuwa tunafanya, Kibabage anawekwa Ili kujaza namba Yanga watimie 11. Sijui wanakutwa na tatizo kama letu kipindi hicho au Kuna shida gani.
Lakini hii ni karibia mechi ya sita yanga wanacheza wakiwa10, na mtu mmoja anayekamilisha idadi kikanuni. Kibabage.