Umtama Mula
Senior Member
- Jan 11, 2021
- 171
- 496
Mwache dogo apate salary kama unaweza nenda weweNakumbuka timu yetu ya dara miaka hiyo tukiwa Chuo, Ile timu tulikuwa na wachezaji kumi. Hatukuwa na Subs, Ili tutimie kumi na Moja kwa mjibu wautaratibu.Tulikuwa tunalazimika kumuweka mtu Ili tu kutimiz idadi ya wachezaji. Inashangaza timu kama yanga wanafanyia kile rulichokuwa tunafanyia, Kibabage anawekwa Ili kujaza namba Yanga watimie 11. Sijui wanakutwa na tatizo kama letu kipindi hicho au Kuna shida gani. Lakini hii ni karibia mechi ya sita yanga wanacheza wakiwa10, na mtu mmoja anayekamilisha idadi kikanuni. Kibabage.
Nakumbuka timu yetu ya darasa miaka hiyo tukiwa Chuo, Ile timu tulikuwa na wachezaji 10. Hatukuwa na Subs, Ili tutimie 11 kwa mjibu wa utaratibu, ilikuwa tunalazimika kumuweka mtu Ili tu kutimiza idadi ya wachezaji.
Inashangaza timu kama yanga wanafanya kile tulichokuwa tunafanya, Kibabage anawekwa Ili kujaza namba Yanga watimie 11. Sijui wanakutwa na tatizo kama letu kipindi hicho au Kuna shida gani.
Lakini hii ni karibia mechi ya sita yanga wanacheza wakiwa10, na mtu mmoja anayekamilisha idadi kikanuni. Kibabage.
Aisee dogo ni shidda, dogo anafanya timu inakosa balance, mara nyingi Bacca analazimika kushuka kushoto ku cover nafasi yake pale dogo yupo mbele anazurura na mpira upokonywe ghafla kitu ambacho ufanya mstari wa mwisho kuvurugika.Naona dogo mnamsagia kunguni hatare! Ilhali timu nzima inafanya makosa
Dogo akipewa mpira lazima uharibikie kwake, akijitahidi ataurudisha ulikotoka. Lakini hakuna kitu hata kimoja cha ki football anafanya uwanjani ambachi kinaunganikana na wenzake. Kiufupi yanga wamecheza mechi karibia sita wakiwa 10 na mtu mmoja anayekamilisha idadi.Aisee dogo ni shidda, dogo anafanya timu inakosa balance, mara nyingi Bacca analazimika kushuka kushoto ku cover nafasi yake pale dogo yupo mbele anazurura na mpira upokonywe ghafla kitu ambacho ufanya mstari wa mwisho kuvurugika.
Watu wanafata upepo wa mitandaoni. Magoli yote yanapita kwa Yao kwasi ila anatukanwa Kibabage.Naona dogo mnamsagia kunguni hatare! Ilhali timu nzima inafanya makosa
Magoli yanatokea upande wa dogo rejea comment number #10Watu wanafata upepo wa mitandaoni. Magoli yote yanapita kwa Yao kwasi ila anatukanwa Kibabage.
Hakuna goli hata moja kwenye hizo mechi limepita kwa kibabage hizo goli za set pits kuna za Baka na kuna za Yao.Goli la kwanza vs Al Hilal limetokea upande huo wa dogo
View: https://youtu.be/MAZIxeyyy1Y?si=_8wsiSzVHvqvHWLz
Goli zote zidi ya Mc Alger zimetokeaa upande huohuo wa dogo
View: https://youtu.be/5dNDRTi_xl4?si=06gFHpKjQEe3-0c3
Goli la TP Mazembe, upande huohuo wa dogo
View: https://youtube.com/shorts/pyeXPgfbNxE?si=l0HpYYGWrWHs1USC
Yanatokeaje yani mfano goli lipi liseme? Unafata mkumbo wa mitandaoni.Magoli yanatokea upande wa dogo rejea comment number #10
Wengi hawajui mpira mkuu ni kuwasoma tu mpira uliotengwa chini nao ni kosa la upande wa beki ya kushoto..Hakuna goli hata moja kwenye hizo mechi limepita kwa kibabage hizo goli za set pits kuna za Baka na kuna za Yao.
Rejea vizuri izo videoYanatokeaje yani mfano goli lipi liseme? Unafata mkumbo wa mitandaoni.
Wewe umeamua kwenda na kelele za ushabiki hujui lolote kuhusu mpira.Rejea vizuri izo video
Kupanda panda kwakwe ovyo, husababisha nafasi yake kuwa exposed wengine wakienda ku cover nafasi yake upelekea either kufanya makosa ambayo uleta izo set pieces.Wengi hawajui mpira mkuu ni kuwasoma tu mpira uliotengwa chini nao ni kosa la upande wa beki ya kushoto..
Yani inashangaza mitandaoni eti Kibabage ndio anafungisha magoli. Baka amebaki mtu wa mwisho anapigwa chenga ya kitoto alafu anaenda kubebeshwa lawama kibabage. Mfano goli la jana mtu karuka free anaenda kulaumiwa kibabage kwa sababu cross imepigwa upande anaocheza.Wengi hawajui mpira mkuu ni kuwasoma tu mpira uliotengwa chini nao ni kosa la upande wa beki ya kushoto..