Umtama Mula
Senior Member
- Jan 11, 2021
- 171
- 496
- Thread starter
-
- #21
Yao anacheza kushoto!Watu wanafata upepo wa mitandaoni. Magoli yote yanapita kwa Yao kwasi ila anatukanwa Kibabage.
Mpira sio fani yako nenda kule kule WCBWatu wanafata upepo wa mitandaoni. Magoli yote yanapita kwa Yao kwasi ila anatukanwa Kibabage.
Nimekuwekea na ushaidi wa video, ushindwe wewe kuchambua, upande wa kushoto unavuja mno.Wewe umeamua kwenda na kelele za ushabiki hujui lolote kuhusu mpira.
Kibabage ni mlinzi wa kushoto kwahiyo anawajibika upande wa kushoto ni wake!Yani inashangaza mitandaoni eti Kibabage ndio anafungisha magoli. Baka amebaki mtu wa mwisho anapigwa chenga ya kitoto alafu anaenda kubebeshwa lawama kibabage. Mfano goli la jana mtu karuka free anaenda kulaumiwa kibabage kwa sababu cross imepigwa upande anaocheza.
Hajui lolote huyo kaparamia tu mpira huku hata hizo video nazo pia haoni?Nimekuwekea na ushaidi wa video, ushindwe wewe kuchambua, upande wa kushoto unavuja mno.
Viongozi wanapaswa kufanya jambo immediately.
Kimataifaa counter utumika sana, dogo anatu expose sana kwenye nafasi yake pale ambapo tunapokonywa mpira ghafla.
Kibabage hapandi hovyo hayo ni maelekezo ya kocha kwa sababu ya mfumo wa timu. Yanga inavyoshambulia inatumia mipira ya pembeni na bahati mbaya hawana mawinga wa asili ndio maana mara nyingi unamuona kibabage anacheza kama winga yeye na Yao kwasi. Yanga inawatumia viungo kucheza pembeni gharama yake lazima mabeki wa pembeni wapande bila hivyo ingekuwa ni disaster maana timu inakuwa blocked angalia mechi 6 zote za nyuma wapinzani wanacheza mpira unaofanan wakicheza na Yanga sababu washajua madhaifu ya timu.Kupanda panda kwakwe ovyo, husababisha nafasi yake kuwa exposed wengine wakienda ku cover nafasi yake upelekea either kufanya makosa ambayo uleta izo set pieces.
Mara nyingi Bacca anakosa usaidizi kutokea nafasi ya kushotoKwa jicho la tatu, Baka ndo mchomeshaji, kiwango kimeshuka sana
Mechi na Al Hilal goli zilipita kwa nani?Kibabage ni mlinzi wa kushoto kwahiyo anawajibika upande wa kushoto ni wake!
Huyo bacca anamsaidia tu kibabage huko kushoto
Lakini hatakiwi ku sprint sana ndiyo makosa kama hayo hutokea sababu ya huyo kibabage
Mbona kwa yao na job kule uhakika? Sababu yao anacover upande wake na hata akichelewa basi atawahi kurudi ..
Hawajakosea kumsema wamesema kweli
Na bahati mbaya hata huko mbele anapokimbilia anachoenda kufanya wala hakieleweki. Kwa ufupi hata kucheza na wenzake hawezi. Zaidi ya kupokea pasi na kuurudisha.Kibabage ni mlinzi wa kushoto kwahiyo anawajibika upande wa kushoto ni wake!
Huyo bacca anamsaidia tu kibabage huko kushoto
Lakini hatakiwi ku sprint sana ndiyo makosa kama hayo hutokea sababu ya huyo kibabage
Mbona kwa yao na job kule uhakika? Sababu yao anacover upande wake na hata akichelewa basi atawahi kurudi ..
Hawajakosea kumsema wamesema kweli
Rejea comment #10Mechi na Al Hilal goli zilipita kwa nani?
Kama ukifuatilia utaonaKwa jicho la tatu, Baka ndo mchomeshaji, kiwango kimeshuka sana
Yani wewe ni layman kabisa kwenye mpira alafu uwa mna matusi sana kwa wachezaji. Baka anavuja sana kwa sababu mbili fitness yake imepungua sana na Yanga imekosa link player katikati ndio unaona jana alianzishwa Muda kujaribu kusaidia mipira isipotee hovyo bahati mbaya nae akawa anacheza kama namba 8.Mara nyingi Bacca anakosa usaidizi kutokea nafasi ya kushoto
Either inapigwa counter inabidi aende kucover nafasi ya dogo muda huoyupo mbele kwenye nafasi za kina Maxi. Rejea goli la kwanza zidi ya Al hilal.
Au Bacca ukosa wa kucheza nae kwa kutoa pasi upande wa kushoto dogo muda huo tayari anakua ameshasogea mbele. Rejea vs TP Mazembe dk za mwanzo kabisa, dk ya 2
Hata basi kumwaga maji kama wakina Lomalisa, napo hakapigiNa bahati mbaya hata huko mbele anapokimbilia anachoenda kufanya wala hakieleweki. Kwa ufupi hata kucheza na wenzake hawezi. Zaidi ya kupokea pasi na kuurudisha.
Kibabage anapatwa na kigugumizi akiwa na mpira yaani anakuwa kama kapokea moto mguuniNa bahati mbaya hata huko mbele anapokimbilia anachoenda kufanya wala hakieleweki. Kwa ufupi hata kucheza na wenzake hawezi. Zaidi ya kupokea pasi na kuurudisha.
Rejea comment #32, itakua tunakuelewasha afu kumbe hata huangaliagi mpira.Yani wewe ni layman kabisa kwenye mpira alafu uwa mna matusi sana kwa wachezaji. Baka anavuja sana kwa sababu mbili fitness yake imepungua sana na Yanga imekosa link player katikati ndio unaona jana alianzishwa Muda kujaribu kusaidia mipira isipotee hovyo bahati mbaya nae akawa anacheza kama namba 8.
Mechi alizocheza yule mkongo si watu walifikia kusema yule mkongo zaidi ya mbio hana jipya. Unajua sababu ni nini? Timu sasa hivi haina kiungo mchezeshaji na kiungo mkabaji wa uhakika. Aziz na Aucho wakiwa kwenye ubora wao kila mchezaji utamuona anawaka.Kama ukifuatilia utaona
Bacca alikuwa vizuri sababu ya lomalisa wakati ule kucover nafasi yake kushoto vizuri sana
Hivyo anapunguziwa mzigo mkubwa wa kusogeza kushoto sana kuziba nafasi na kuzima kati kati tu
Ila sasa hivi kibabage anapanda sana kuchelewa matokeo yake Bacca anasprint sana kushoto na kuacha kwake kati na zinapigwa turnover na wanaingia kati wanaweka chuma .
Tufuatilie
Benchi la ufundi nalo tatizo kipa aliumia na aliomba sub baadae akata kulazimisha kucheza akiwa mgonjwa wakati benchi yupo kipa mzuri tu niliwashangaa sana wanafanya kazi kwa uoga na si utaalamu..mudhathir alipotea sana alikua anamchosha Aucho na zile sub zilikua sawa ila Musonda angetolewa mapema nae..Yani inashangaza mitandaoni eti Kibabage ndio anafungisha magoli. Baka amebaki mtu wa mwisho anapigwa chenga ya kitoto alafu anaenda kubebeshwa lawama kibabage. Mfano goli la jana mtu karuka free anaenda kulaumiwa kibabage kwa sababu cross imepigwa upande anaocheza.
Tatizo kubwa timu imekosa balance. Timu ikiwa na balance utaona cleen sheets na magoli.Nasikitika timu yangu ni physic unfit. Nashindwa kumueleza hata mwanangu kuwa October mwaka huu hii timu ilikuwa haishikiki. Ila kwa sasa imebadilika ghafla kuliko zuwena wa mond.
Goli la kwanza lilitoka kushoto huko kwa kibabage na baccaMechi na Al Hilal goli zilipita kwa nani?
Sijui walimchelewesha mtu anaonekana hawezi kuendelea na mechi wanalazimisha!Benchi la ufundi nalo tatizo kipa aliumia na aliomba sub baadae akata kulazimisha kucheza akiwa mgonjwa wakati benchi yupo kipa mzuri tu niliwashangaa sana wanafanya kazi kwa uoga na si utaalamu..mudhathir alipotea sana alikua anamchosha Aucho na zile sub zilikua sawa ila Musonda angetolewa mapema nae..