Umtama Mula
Senior Member
- Jan 11, 2021
- 171
- 496
- Thread starter
-
- #41
Yaani inashangaza, kama Boka mgonjwa Bora acheze Kibwana, kwa sababu hata kama hapandi kushambulia atakupa uhakika wa kukaba, au Faridi Musa, ambaye hata kama hakabi lakini atakupa uhakika wa kushambulia. Huyu dogo hakabi, hachezi, na wala hashambulii. Kwa ufupi akiwa uwanjani ni kama yanga wako 10. Pasi pekee anayopiga kwa uhakika ni ya kuurudisha mpira nyumaKibabage anapatwa na kigugumizi akiwa na mpira yaani anakuwa kama kapokea moto mguuni
Anaweka tu kati ana analenga miguu ya mabeki
Hawezi kupiga Cross za juu kabisa .
Nadhani anapaswa atulie mbona zamani alikuwa anacheza vizuri?
Kosa la Muda nililiona kuanzia dk ya 8 nikamwambia jamaa karibu yangu kuwa hawa jamaa watashika sana kiungo na pembeni kwa sababu mipira hapo kati haikai na Mazembe wanategemea mbio na krosi tu ili wapige vichwa..Yani wewe ni layman kabisa kwenye mpira alafu uwa mna matusi sana kwa wachezaji. Baka anavuja sana kwa sababu mbili fitness yake imepungua sana na Yanga imekosa link player katikati ndio unaona jana alianzishwa Muda kujaribu kusaidia mipira isipotee hovyo bahati mbaya nae akawa anacheza kama namba 8.
Muda aliwekwa attacking mido kwa sababu kocha alikuwa anajaribu kuzuia ugonjwa wa kupoteza mipira hovyo ambao ni ugonjwa unaosumbua pia timu sana kwa sasa. Aziz chama pacome wanapoteza sana mipira wanaipa kazi safu ya uzuiaji timu inaenda inafika katikati mnapoteza mipira kizembe wakati mshazifungua beki zote za pembeni counter paaa goliBenchi la ufundi nalo tatizo kipa aliumia na aliomba sub baadae akata kulazimisha kucheza akiwa mgonjwa wakati benchi yupo kipa mzuri tu niliwashangaa sana wanafanya kazi kwa uoga na si utaalamu..mudhathir alipotea sana alikua anamchosha Aucho na zile sub zilikua sawa ila Musonda angetolewa mapema nae..
Diara anacheza huku akiwa mgonjwa na mchezaji alie fit yupo benchi inashangaza sana hata alivyokua anaanzisha mipira kwa miguu ilikua ni hatari hatari tu..Sijui walimchelewesha mtu anaonekana hawezi kuendelea na mechi wanalazimisha!
Walituumiza sana ingewezekana hata lile goli wasingefunga, diara hakuwa sawa kabisa yule sijui anaumwa
Kila kitu kinaanzia na defence kwanza na mengine ndiyo yanafuatia.Mechi alizocheza yule mkongo si watu walifikia kusema yule mkongo zaidi ya mbio hana jipya. Unajua sababu ni nini? Timu sasa hivi haina kiungo mchezeshaji na kiungo mkabaji wa uhakika. Aziz na Aucho wakiwa kwenye ubora wao kila mchezaji utamuona anawaka.
Kweli na hilo nililionaMuda aliwekwa attacking mido kwa sababu kocha alikuwa anajaribu kuzuia ugonjwa wa kupoteza mipira hovyo ambao ni ugonjwa unaosumbua pia timu sana kwa sasa. Aziz chama pacome wanapoteza sana mipira wanaipa kazi safu ya uzuiaji timu inaenda inafika katikati mnapoteza mipira kizembe wakati mshazifungua beki zote za pembeni counter paaa goli
Lakini nadhani sababu ya footwork yake tu ndiyo inawafanya wampangeDiara anacheza huku akiwa mgonjwa na mchezaji alie fit yupo benchi inashangaza sana hata alivyokua anaanzisha mipira kwa miguu ilikua ni hatari hatari tu..
Kibwana ni mzima, sawa Gamondi alikuwa hampendi. Na kocha wa sasa hivi nae anamchukia?Yaani inashangaza, kama Boka mgonjwa Bora acheze Kibwana, kwa sababu hata kama hapandi kushambulia atakupa uhakika wa kukaba, au Faridi Musa, ambaye hata kama jamani lakini atakupa uhakika wa kushambulia. Huyu dogo hakabi, hachezi, na wala hashambulii. Kwa ufupi akiwa uwanjani ni kama yanga wako 10. Pasi pekee anayopiga kwa uhakika ni ya kuurudisha mpira nyuma
Kama lengo lilikuwa ni kuzuia kibwana alifaa zaidi yeye yupo vizuri kukaba kuliko kushambuliaYaani inashangaza, kama Boka mgonjwa Bora acheze Kibwana, kwa sababu hata kama hapandi kushambulia atakupa uhakika wa kukaba, au Faridi Musa, ambaye hata kama hakabi lakini atakupa uhakika wa kushambulia. Huyu dogo hakabi, hachezi, na wala hashambulii. Kwa ufupi akiwa uwanjani ni kama yanga wako 10. Pasi pekee anayopiga kwa uhakika ni ya kuurudisha mpira nyuma
Uongozi wote ulifeli kwenye usajili msimu huuKibwana ni mzima, sawa Gamondi alikuwa hampendi. Na kocha wa sasa hivi nae anamchukia?
Mfumo wa Yanga unamfanya kibwana asipate namba. Gamondi kuna wakati aliomba aletewe winga wa asilia ili kuziba mapungufu kama anacheza beki aina ya kibwana au timu ikibadili mfumo akaletwa Okra winga anakaa kwenye kibendera kama yule dogo wa simba aliyetoka mtibwa ππ
Tatizo la Yanga hamtaki kulipoint kwa sababu ya mahaba
Yeah Yanga ilifeli kwenye usajili. Kuna wachezaji wametumia energy kubwa sana miwili iliyopita iliitajika refresh ya kikosi kupata wachezaji wenye energy kuliko waliopo hata kama wawili au watatu lakini wawe wana nishati haswa. Ni Duke tu katika wachezaji wapya unaweza kuipata ile energy waliokuwa nayo misimu miwili iliyopita. Wengine wamekuwa abiria.Uongozi wote ulifeli kwenye usajili msimu huu
Low quality player walioleta kama andambwile hana faida yoyote sijui wale kina okrah tukaishia kupata hasara na kina konkoni wale
Huyo boka naye anashinda hospital kuliko uwanjani
At least tushukuru uwepo wa kibabage yupo fit anapohitajika wengine ndiyo hivyo pancha kama huyo mbuni bora lamolisa alikuwa anapatikana game chache lakini sio kama huyu mbuni
Sisi hatuna wa kumlaumu acha tujipange tu upyaYeah Yanga ilifeli kwenye usajili. Kuna wachezaji wametumia energy kubwa sana miwili iliyopita iliitajika refresh ya kikosi kupata wachezaji wenye energy kuliko waliopo hata kama wawili au watatu lakini wawe wana nishati haswa. Ni Duke tu katika wachezaji wapya unaweza kuipata ile energy waliokuwa nayo misimu miwili iliyopita. Wengine wamekuwa abiria.
Mbaya zaidi pia wana madeni mengi huwezi vunja mikataba hovyo so inabidi utafute kina Mwenda waje wajitafute yani unabet.