Habari ya uzima, ni mimi mwananchi kutoka Kibaha Maili Moja, Mtaa wa Muheza, mtaa wetu wa kwa Mbonde Msikitini hatupati maji kwa wiki mbili sasa na tukiwapiga DAWASA Kibaha wanadai presha ya maji iko chini.
Tumechoka sanasana tunanunua maji ya maboza ya kwenye gari kwa gharama ya Sh 70,000, maisha yanakuwa magumu na ndoo ya maji tunauziwa sh 500.