LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Sunshine iliyopo Kibaha Mkoani Pwani, Sada Kabaju (17) ametoroka nyumbani tangu August 18,2023
@AyoTV_ imefika Kibaha nyumbani kwa Zaiba Kinyowa (58) ambaye ni Mama Mzazi wa Sada na kuongea nae ambapo amesema Sada alirejea nyumbani baada ya kuugua akiwa Shuleni ambapo Aug 14,2023 alihamisha Tsh. Laki 1 kutoka kwenye simu ya Mama yake kwenda laini yake bila Mama yake kugundua na pia Aug 15,2023 alihamisha tena Tsh. laki 1 ambayo Mama yake aligundua na akaizuia.
“Baada ya kumuuliza mwanzoni alikataa lakini Kaka yake alipomchapa akakiri kweli alichukua, baadaye akaondoka nyumbani na mpaka leo hatujui yupo wapi, tumetoa taarifa Polisi, tumemsaka ni mwezi sasa hajarudi, Rafiki yake Adelina anasema alipotoka hapa nyumbani alienda kwao na akamuambia anaenda kwa Boyfriend wake.
Nawaomba Watanzania mnisaidie nimpate Mwanangu, na Mwanangu popote alipo kama ananisikia naomba arudi nyumbani, kuhusu pesa nimemsamehe.
Namba zangu ni 0713547825”
USHAURI WANGU KWA MAMA SADA: USIMTAFUTE SADA. AKIRUDI ATAKUPANDA KICHWANI MARA KUMI. MUACHE DUNIA IMFUNDISHE. ATARUDI MWENYEWE..