Kibaha: Mwanafunzi atoroka nyumbani tangu August 18,2023. Inadaiwa kaenda kwa mpenzi wake

Kibaha: Mwanafunzi atoroka nyumbani tangu August 18,2023. Inadaiwa kaenda kwa mpenzi wake

Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Sunshine iliyopo Kibaha Mkoani Pwani, Sada Kabaju (17) ametoroka nyumbani tangu August 18,2023

@AyoTV_ imefika Kibaha nyumbani kwa Zaiba Kinyowa (58) ambaye ni Mama Mzazi wa Sada na kuongea nae ambapo amesema Sada alirejea nyumbani baada ya kuugua akiwa Shuleni ambapo Aug 14,2023 alihamisha Tsh. Laki 1 kutoka kwenye simu ya Mama yake kwenda laini yake bila Mama yake kugundua na pia Aug 15,2023 alihamisha tena Tsh. laki 1 ambayo Mama yake aligundua na akaizuia.

“Baada ya kumuuliza mwanzoni alikataa lakini Kaka yake alipomchapa akakikiri kweli alichukua, baadaye akaondoka nyumbani na mpaka leo hatujui yupo wapi, tumetoa taarifa Polisi, tumemsaka ni mwezi sasa hajarudi, Rafiki yake Adelina anasema alipotoka hapa nyumbani alienda kwao na akamuambia anaenda kwa Boyfriend wake

Nawaomba Watanzania mnisaidie nimpate Mwanangu, na Mwanangu popote alipo kama ananisikia naomba arudi nyumbani kuhusu pesa nimemsamehe.

Namba zangu ni 0713547825”

USHAURI WANGU KWA MAMA SADA: USIMTAFUTE SADA . AKIRUDI ATAKUPANDA KICHWANI MARA KUMI. MUACHE DUNIA IMFUNDISHE. ATARUDI MWENYEWE..

Comment ya mwaka :

idrissamohammedy

BORA SISI WA 99 ILA SIO 2000🙌🙌 MAJIRANI ZETU WANATUANGUSHA SANA 🙌
# Breaking News: SADA ALISOMESHWA ENGLISH MEDIUM.
Huo umri ni Kipengere watoto wa kike wakifika form two ni hatari sana.

Wazazi kuweni karibu sana na watoto hao ili iwe rahisi kuwa handle.
 
Serikali inatakiwa ifanye jambo kwenye sheria na mtaala wa masomo. Iandae mtaala ambao utaendana na uhalisia.

1. Ifute kidato cha tano na sita.
2. Ifute darasa la saba
3. Mtoto aanze darasa la kwanza na miaka minne na amalize form four na miaka kumi na nne. .
4. Miaka kumi na tano eidha aende chuo kikuu, au chuo cha ufundi au aolewe au kuoa.
5. Umri wa kuoa na kuolewa uwe kuanzia miaka kumi na tano.

For my opinion, miaka kumi na saba sio mtoto, ni mtu mzima kabisa. Mimi miaka kumi na saba nilikuwa form four na nina mtoto.

Sada ni mtu mzima, sio mtoto.
Kwani sheria za sasa za '71 zinazotumika umri wa mtoto wa kike wa kuolewa ni miaka mingapi?
 
90% ya watoto wanaoishi na single maza au ambao wazazi wao wakiume hawatulii nyumbani ndio mara nyingi haya mambo hutokea ila kwenye familia za baba na mama ni nadra sana haya mambo.
 
maombi ya nini sasa mkuu? yani unataka Mungu ndio awe housegirl na bodyguard wa kukuangalizia watoto wako? Tell me ur joking please?
Yaan kunawatu wanazani Mungu anamuda wa kijinga hivyo. Kuna watu wanakufa njaa kwa Sababu ya ukame, wengine vitani lakini bado na haya ya Hawa watoto nayo tumuombe Mungu. Sawa watu wamuombe Mungu lakini wazazi tufanye kazi yetu. Huyu mtoto angekuwa mwanangu siku ambayo angerudi home nadhani kipigo ambacho ningempa asingeishia kutorokea mikoani tu Bali angehama nchi kabisa. Siwezi kuteseka kusaka ada, chakula , malazi ,mavazi alafu bado nije ninaribiwe kijinga hivyo
 
Serikali inatakiwa ifanye jambo kwenye sheria na mtaala wa masomo. Iandae mtaala ambao utaendana na uhalisia.

1. Ifute kidato cha tano na sita.
2. Ifute darasa la saba
3. Mtoto aanze darasa la kwanza na miaka minne na amalize form four na miaka kumi na nne. .
4. Miaka kumi na tano eidha aende chuo kikuu, au chuo cha ufundi au aolewe au kuoa.
5. Umri wa kuoa na kuolewa uwe kuanzia miaka kumi na tano.

For my opinion, miaka kumi na saba sio mtoto, ni mtu mzima kabisa. Mimi miaka kumi na saba nilikuwa form four na nina mtoto.

Sada ni mtu mzima, sio mtoto.
Dkt. Gwajima D
 
Yaan kunawatu wanazani Mungu anamuda wa kijinga hivyo. Kuna watu wanakufa njaa kwa Sababu ya ukame, wengine vitani lakini bado na haya ya Hawa watoto nayo tumuombe Mungu. Sawa watu wamuombe Mungu lakini wazazi tufanye kazi yetu. Huyu mtoto angekuwa mwanangu siku ambayo angerudi home nadhani kipigo ambacho ningempa asingeishia kutorokea mikoani tu Bali angehama nchi kabisa. Siwezi kuteseka kusaka ada, chakula , malazi ,mavazi alafu bado nije ninaribiwe kijinga hivyo
Upo sahihi mkuu
 
90% ya watoto wanaoishi na single maza au ambao wazazi wao wakiume hawatulii nyumbani ndio mara nyingi haya mambo hutokea ila kwenye familia za baba na mama ni nadra sana haya mambo.
Nakazia
 
Back
Top Bottom