Kibaha: Mwanafunzi atoroka nyumbani tangu August 18,2023. Inadaiwa kaenda kwa mpenzi wake

Huo umri ni Kipengere watoto wa kike wakifika form two ni hatari sana.

Wazazi kuweni karibu sana na watoto hao ili iwe rahisi kuwa handle.
 
Kwani sheria za sasa za '71 zinazotumika umri wa mtoto wa kike wa kuolewa ni miaka mingapi?
 
90% ya watoto wanaoishi na single maza au ambao wazazi wao wakiume hawatulii nyumbani ndio mara nyingi haya mambo hutokea ila kwenye familia za baba na mama ni nadra sana haya mambo.
 
maombi ya nini sasa mkuu? yani unataka Mungu ndio awe housegirl na bodyguard wa kukuangalizia watoto wako? Tell me ur joking please?
Yaan kunawatu wanazani Mungu anamuda wa kijinga hivyo. Kuna watu wanakufa njaa kwa Sababu ya ukame, wengine vitani lakini bado na haya ya Hawa watoto nayo tumuombe Mungu. Sawa watu wamuombe Mungu lakini wazazi tufanye kazi yetu. Huyu mtoto angekuwa mwanangu siku ambayo angerudi home nadhani kipigo ambacho ningempa asingeishia kutorokea mikoani tu Bali angehama nchi kabisa. Siwezi kuteseka kusaka ada, chakula , malazi ,mavazi alafu bado nije ninaribiwe kijinga hivyo
 
Dkt. Gwajima D
 
Upo sahihi mkuu
 
90% ya watoto wanaoishi na single maza au ambao wazazi wao wakiume hawatulii nyumbani ndio mara nyingi haya mambo hutokea ila kwenye familia za baba na mama ni nadra sana haya mambo.
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…