Kibajaji amvaa vikali Zitto Kabwe kumsema Magufuli, amuita muoga kwani wakati yupo hakusema?

Unadhani hatuuoni ukweli anaouzungumza Zitto kuhusu yule dhalimu?
Wewe hata tofauti ya ukweli na tuhuma hujui, we kila kitu kibaya kuelekezwa kwa Jiwe we unahesabu ndio ukweli kisa tu unamchukia.
 
Wewe ndio unaeumia kwa kukumbuka nakuumizwa na maovu yake kwa chuki na upumbavu wako.
Ukimsema hasikii wala hakujibu
Pili wewe sio Mungu sio yesu au malaika wa adhabu useme eti unaona au unamuadhibu..
Sana sana unapata dhambi za masimango masengenyo na kusema marehemu. Bora hata wezi maana wanapata d

Shida ni utoto na uelewa.
Tuna viongozi waliofanya maovu mengi sana nchini, wenye madhambi kuliko magufuli lakini tulikaa kimya walipofariki na leo taifa linawaimba na kuwatukuza sana.
1. Julius Kambarage Nyerere
2. Abeus Aman Karume
Lissu alijaribu kueleza mabaya ya Nyerere akaonekana kama anakufuru vile yani mabaya ya Nyerere hayapaswi kuelezwa ila watu hao hao ndio wanamsema Magufuli.
 
Afadhali ya zito Kibajaji anaogopa mpaka marehemu. Nani mwoga zaidi kati ya anayeongopa aliye hai na anayeogopa marehemu
Asa yule Jiwe alikuwa hana akili nzuri...lkn zito ana akili timamu, zito siyo kichaa!...jiwe alikuwa kichaa aliye kamata Rungu usijaribu pita mbele yake!..... kumsema/ kumtania kichaa!! wakt unaona rungu!! heee! wataka kupigwa rungu maksudi, Lisu yuko wapi?

Zito ana akili timamu! hata nyie mliokuwa nae mlikuwa hamna amani myoni mwenu, mpaka leo! mda wowote kinanuka!! jiwe alikuwa hana rafiki wa kudumu zaidi ya Bashite!! sasa kwa kuwa Bashite ana akili timamu alimkimbia kijanja kwa kujifanya anagombea ubungo!

kibajaji manake kafupi siyo?? basi na akili pia hivoivo!! msione ajabu vimtu vifupi ndo vilivyo!
 
we kila kitu kibaya kuelekezwa kwa Jiwe we unahesabu ndio ukweli kisa tu unamchukia.
Hivi!!! jiwe aliwakamulia nini kwenye akili zenu???? jamani!! jitu lile jeusi tii!! roho mbaya, ropokaji, jeuri, uaji hovyo, lafi la hela na madaraka!! upendeleo! Dunia ililikataa kitambo hakuna kutembea huko nje wajameni

bado mtu km weye unalili lia humu!! jua kuwa watu hawamchukii jiwe ila matendo yake ya uuaji! ndo waliyachukia .....eti ana mchukia kweli mfu?? lile jamaa lilikuwa ni la kuonea huruma tu!! kwa sababu sisi tuli jua lita kufa!! Mtawala dhalimu hadumu kamwe!!

tulili shauri liache dhuruma!! mbona lina hele nyingi tuu!! badala ya kubadirika likaongeza ulinzi wa ma elikopita! mweee!! ndo kabisaa!! likaanza kupiga nyungu!
 
Asa yule Jiwe alikuwa hana akili nzuri...lkn zito ana akili timamu, zito siyo kichaa!...jiwe alikuwa kichaa aliye kamata Rungu usijaribu pita mbele yake!..... kumsema/ kumtania kichaa!! wakt unaona rungu!! heee! wataka kupigwa rungu maksudi, Lisu yuko wapi?

Zito ana akili timamu! hata nyie mliokuwa nae mlikuwa hamna amani myoni mwenu, mpaka leo! mda wowote kinanuka!! jiwe alikuwa hana rafiki wa kudumu zaidi ya Bashite!! sasa kwa kuwa Bashite ana akili timamu alimkimbia kijanja kwa kujifanya anagombea ubungo!

kibajaji manake kafupi siyo?? basi na akili pia hivoivo!! msione ajabu vimtu vifupi ndo vilivyo!
Zitto angekuwa na akili basi Chadema wasingemtimua wangeendelea kufaidi matunda ya akili za Zitto.
 
Ndo ivo!! safi sana walifanya!! hata kule kuna wajinga unadhani wao ni Malaika Mkuu!,,tena ndo vizuri! mazezetawamekaa!
 
Lissu alijaribu kueleza mabaya ya Nyerere akaonekana kama anakufuru vile yani mabaya ya Nyerere hayapaswi kuelezwa ila watu hao hao ndio wanamsema Magufuli.
Tulipaswa kubaki na msimamo huo tusimuige yule kiropo asiye na staha ya maneno.
Milichokuwa kibaya kwa Nyerere ni kibaya kwa mwendazake pia
 
Hivi!!! jiwe aliwakamulia nini kwenye akili zenu???? jamani!! jitu lile jeusi tii!! roho mbaya, ropokaji, jeuri, uaji hovyo, lafi la hela na madaraka!! upendeleo! Dunia ililikataa kitambo hakuna kutembea huko nje wajameni

bado mtu km weye unalili lia humu!! jua kuwa watu hawamchukii jiwe ila matendo yake ya uuaji! ndo waliyachukia .....eti ana mchukia kweli mfu?? lile jamaa lilikuwa ni la kuonea huruma tu!! kwa sababu sisi tuli jua lita kufa!! Mtawala dhalimu hadumu kamwe!!

tulili shauri liache dhuruma!! mbona lina hele nyingi tuu!! badala ya kubadirika likaongeza ulinzi wa ma elikopita! mweee!! ndo kabisaa!! likaanza kupiga nyungu!
Ukitaka kujua kwamba mnamchukia na si kwamba mnamkosoa hebu muone Zitto(aliyefukuzwa chadema kwa usaliti) sasa hivi hakosoi utawala uliyopo ila yeye kamshikilia maiti tu hadi anasema wanaompenda wakazikwe nae ila yeye marehemu mama yake watu walivyokuwa wanaeleza ubaya wake wa uchawi wake yeye Zitto alimwaga chozi anasikia uchungu mama yake kuambiwa ukweli kwamba alikuwa anaroga watu.
 
Wewe hata tofauti ya ukweli na tuhuma hujui, we kila kitu kibaya kuelekezwa kwa Jiwe we unahesabu ndio ukweli kisa tu unamchukia.

Wakiruhusu uchunguzi ndani ya masaa 24 ushahidi utakuwa hadharani.
 
Amemsikia huyo tu au ni unafiki tu? Wengine wamemsema ndani na nje lakini akinya bata anaharisha.
 
Tusifikiri kumsema vibaya Magufuli kutasaidia kitu, hayupo na hawezi kujibu kitu, kama una tatizo naye maliza utakuja kukutana naye kwa Mungu.

Mtu akishatangulia kitabu chake kinafungwa, tunamuachia Mungu kuja kutoa hukumu.

Hakuna Mbingu au Mungu wa wauaji na wabaguzi.
 
Ukitaka kujua kwamba mnamchukia na si kwamba mnamkosoa hebu muone Zitto(aliyefukuzwa chadema kwa usaliti) sasa hivi hakosoi utawala uliyopo ila yeye kamshikilia maiti tu hadi anasema wanaompenda wakazikwe nae ila yeye marehemu mama yake watu walivyokuwa wanaeleza ubaya wake wa uchawi wake yeye Zitto alimwaga chozi anasikia uchungu mama yake kuambiwa ukweli kwamba alikuwa anaroga watu.

Unadhani ukimtaja Zito na kukumbishia kufukuzwa kwake cdm ndio kutakupa backup ya hoja zako?
 
Wakiruhusu uchunguzi ndani ya masaa 24 ushahidi utakuwa hadharani.
Ndio haujafanyika huo uchunguzi kwahiyo wewe toa tu tuhuma ila uchunguzi ndio utaweka wazi ukweli upi na porojo zipi.
 
Kwetu sio tuhuma bali ni ukweli. Hatuna muda wa kusubiri uchunguzi wakati udhalimu wake ulikuwa wazi.
 
Tukiataka kuzungumza ya Maalim Seif hapa tutakimbiana. Zitto asitake tufukue makaburi.

Maalim hakuwa na ubaya na mtu ndio maana kapzika kwa Amani, hakuna hata anayemsema vibaya. Jiulize kwa Magufuli, tangu anaumwa watu wanakamatwa, mpaka anakufa Kuna watu walikamatwa wanasherekea na mpka Sasa watu wamegawanyika . Jiulize kwanini yet?
 
Lisu alijaribu akaishia kupigwa Lisasi,Mbowe alibaki kuigiza ukosoaji akatenguliwa mguu,akaporwa bilicans etc akaufya na asingekuwa Samia Mbowe angefia jela.

Mbowe hajawahi kuufyata kwa Magufuli. Acha uongo, Kama angeufyata asingepigwa kesi ya ugaidi. Mbowe kapigana mpaka mwisho, wengine walijikomba kwa Magufuli. Nitawaheshimu Mbowe , Lema na Lissu walipigwa Sana lakini hawakusalimu amri. Lema alilazwa jela zaidi ya miezi sita mpaka mahakama kuu ikaingilia Kati. Mungu awalinde.
 
Back
Top Bottom