Kibajaji amvaa vikali Zitto Kabwe kumsema Magufuli, amuita muoga kwani wakati yupo hakusema?

Kibajaji amvaa vikali Zitto Kabwe kumsema Magufuli, amuita muoga kwani wakati yupo hakusema?

Haache ujinga, ndio maana tunamsema kwa sababu hawezi kutufanya lolote ,angekuwa hai tungemsemaje ili atunyonge? Asitufunge midomo. Atuache na woga wetu. Yeye hakujua kama kunaa kufa
 
Tusifikiri kumsema vibaya Magufuli kutasaidia kitu, hayupo na hawezi kujibu kitu, kama una tatizo naye maliza utakuja kukutana naye kwa Mungu.

Mtu akishatangulia kitabu chake kinafungwa, tunamuachia Mungu kuja kutoa hukumu.
Huyo shetani wako yupo kuzimu na kamwe hawezi kwenda kwa Mungu!
 
Mwenda kuzimu amelaaniwa yeye na kizazi chake.

Damu alizomwaga zinamwandama huko aliko amekosa hata kuwa kiongozi wa malaika.
 
Magufuli, Zitto na Hata Lusinde Kibajaji wote ni WanaCCM...

Wana Roho mbaya, mafisadi na wanufaika wa mfumo onevu na ovu ya Serikali..

Wasaliti dhidi ya Haki, maslahi Tumbo, matapeli wa kisiasa..hawana tofauti na Magufuli kabisa.....

Wapuuzwe tu...ni akili tumbo wazee wa kutumika...wote ni OVYO.
 
Sema Zitto anajaribu kufanya kila analoweza kumu win mama. Katika kufanya hivyo, anajikuta anatukosea Watanzania wengi tulioamini fikra na mafundisho ya JPM. Kwa hivo Zitto na toilet paper ni sawa.
 
Sio kila mtu ni jasiri kama Lisu, hawa wengine walingoja atoke madarakani wateme nyongo. Kwa bahati mbaya kafia madarakani. Hivyo kwakuwa hakuwa mstaarabu acha ukweli wake apewe akiww huko huko motoni.
Huo sio ukweli bali ni tuhuma kwa asiyeweza kujitetea na kama ni hasira basi ni bora uende kaburini kwake ukamseme na kumtukana unavyotaka hadi hasira ziishe.

Zitto sasa hivi hamkosoi rais aliyepo, je ndio anamsubiri hadi asitahafu au haoni kasoro kwenye utawala wa Samia?
 
Haache ujinga, ndio maana tunamsema kwa sababu hawezi kutufanya lolote ,angekuwa hai tungemsemaje ili atunyonge? Asitufunge midomo. Atuache na woga wetu. Yeye hakujua kama kunaa kufa
Zitto ndio alimwambia Magufuli(akiwa hai) kuwa ni rais mshaba, ila Zitto hakuguswa, sasa nani alimzuia asiongee?
 
Magufuli alikuwa na falsafa?
Ya utekaji, ubambikaji kesi, ukwapuaji, roho mbaya,ukabila, ubaguzi, call that falsafa?
And you subscribe to that?
Inawezekana kabisa katika watu wenye chuki na Jiwe ikawa miongoni mwao ni hao waliyobakwa.
 
Mwenda kuzimu amelaaniwa yeye na kizazi chake.

Damu alizomwaga zinamwandama huko aliko amekosa hata kuwa kiongozi wa malaika.
Kikwete alimwaga damu ila bado anadunda. Tuondolee imani zako za ajabu ajabu.
 
Back
Top Bottom