Kibajaji amvaa vikali Zitto Kabwe kumsema Magufuli, amuita muoga kwani wakati yupo hakusema?

Tusifikiri kumsema vibaya Magufuli kutasaidia kitu, hayupo na hawezi kujibu kitu, kama una tatizo naye maliza utakuja kukutana naye kwa Mungu.

Mtu akishatangulia kitabu chake kinafungwa, tunamuachia Mungu kuja kutoa hukumu.
Kwa Mungu wa wapi labda Mungu wa Chato na mizimu.
 
Wanasiasa Dunia nzima huwa ni wanafiki ila hawa wetu wa Tz wamevuka mipaka......Saizi Zuberi huwezi kumsikia anazungumzia kovidi, pamoja na mapungufu alikuwa nayo JPM ila waliobaki hai ndiyo wabaya zaidi maana unafiki wao ni WA PHD
 
You are very stupid indeed why are you forcing people to believe in evil deeds? Zitto Kabwe is a hero may god bless him.
 
Tukiataka kuzungumza ya Maalim Seif hapa tutakimbiana. Zitto asitake tufukue makaburi.
Fukua kaburi wewe tukusikie, tafadhali usitulishe matango pori Zitto yuko sasa yule mwehu wenu hakupenda kukosolewa akiwa hai acha watu wamjadili kwa namna ile ile aliyowatendea akiwa hai ili shetani aendelee kukoleza moto.
 
Acha ujinga, maovu ya marehemu lazima yasemwe ili walio hai wajifunze na kujiepusha kufanya maovu yale. Magufuli alikuwa shetani lazima asemwe akiwa marehemu kwa sababu alitumia nguvu za dola kunyamazisha watu wasimame akiwa hai
 
Shoga mwenzio mbona hamkuzikwa wote na Maalim?
Kila nafsi itaonja mauti na Maalim Seif amekufa lakini matendo yake mema yanaishi pamoja na kudhulumiwa sana na chama cha majambazi na Magufuri akiwemo.
Umepaniki vibaya mno cheti feki na mla ngada pumbavu wewe
Akifufuka leo Magufuri atawaambia ubaya wa kutumia madaraka hapo ndiyo mtajua kuua uaji ni mbaya shenzi ninyi eti cheti feki njoo ukague vyeti vyangu uone kama tunalingana pumbavu.
 
Mshenzi wewe, asokujua Nani wewe kuwa ni muuza ngada?

Huna huruma na vijana wa kitanzania wewe, koma kabisa wewe
You are stupid and useless material person, unafikiri wote ni wajinga kama ninyi mbona Nyerere na Mkapa walishakufa na walikuwa marais kwa nyakati tofauti kwa nini wao hawasemwi vibaya kama huyo mwendazake, bullshit wewe.
 
Mshenzi wewe, asokujua Nani wewe kuwa ni muuza ngada?

Huna huruma na vijana wa kitanzania wewe, koma kabisa wewe
Na mtajuta sana mlifikiri bila Magufuli nchi haiwezi kusonga??? Mtadhalilika sana kwa kumtegemea mwanadamu badala ya kumtegemea Mungu mwenye mamlaka na kila uhai wa mwanadamu, tafuta njia nyingine ya kuomboleza kima wewe kama ni kumkosoa tutaendelea kumkosoa tu na akitokea mwingine mwovu kama Magufuli tutamkosoa tu.
 
Yote hayo wasema wewe, wewe ni punguani!! Nimekupuuza wewe mbuzi kasoro mkia wewe
 
Kunywa sumu kabwela Mkubwa wewe,

Unadhani ulivyo wewe unataka na wenye upeo Mkubwa wawe kama wewe zombie.??

Jinga kabisa
Una upeo gani marehemu wewe,elimu ya kukariri ni elimu,jinga sana unafikiri kusemwa vibaya au vizuri kutabadilisha kitu,hamna alishakufa na aliokuwa anawaonea wanatamba mitaani kunguru wewe.
 
We jifariji tuu.magufuli hawezi pumzika ata siku Moja.kwani mama ya zito alikua rais?tumseme wa nini sasa??
Wewe ndio unaeumia kwa kukumbuka nakuumizwa na maovu yake kwa chuki na upumbavu wako.
Ukimsema hasikii wala hakujibu
Pili wewe sio Mungu sio yesu au malaika wa adhabu useme eti unaona au unamuadhibu..
Sana sana unapata dhambi za masimango masengenyo na kusema marehemu. Bora hata wezi maana wanapata d
Acha ujinga, maovu ya marehemu lazima yasemwe ili walio hai wajifunze na kujiepusha kufanya maovu yale. Magufuli alikuwa shetani lazima asemwe akiwa marehemu kwa sababu alitumia nguvu za dola kunyamazisha watu wasimame akiwa hai
Shida ni utoto na uelewa.
Tuna viongozi waliofanya maovu mengi sana nchini, wenye madhambi kuliko magufuli lakini tulikaa kimya walipofariki na leo taifa linawaimba na kuwatukuza sana.
1. Julius Kambarage Nyerere
2. Abeus Aman Karume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…