Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Movie ya kitambo sana hiiHuyu hafuzu kuwa mfanyakazi wa umma.
View attachment 2604943
Ana nini huyu kumtofautisha na mvuta bangi?
Leta taarifa iliyokamili una haraka ngani? Nini kimetokea na sababu nini?Huyu hafuzu kuwa mfanyakazi wa umma.
View attachment 2604943
Ana nini huyu kumtofautisha na mvuta bangi?
Hii clip ya siku nyingi Sana. Ilitokea enzi za utawala wa nduli jiwe. Huyu afisa ni miongoni mwa washirika wake alikuwa akiwatuma kuwapora watanzania.Huyu hafuzu kuwa mfanyakazi wa umma.
View attachment 2604943
Ana nini huyu kumtofautisha na mhuni mvuta bangi wa mtaani?
Mamlaka za namna hii ni vyema kuziweka kwenye notice, panapo ukombozi wa nchi hii wajiandae kunywa maji kwenye karai --- Mrema (rip).Movie ya kitambo sana hii
Sukuma gang anataka kubadili tukio lililofanywa na Mungu wao wa Chato kuwa eti limefanyika enzi hizi za utukufu na amaniMovie ya kitambo sana hii
Sukuma gang anataka kubadili tukio lililofanywa na Mungu wao wa Chato kuwa eti limefanyika enzi hizi za utukufu na amani
Legacy ziiiii!!!
Sawa mkuuKibaka ni kibaka tu, hawezi kubadilika.
View attachment 2604987
Mada haihusu legasi.
Ni Kumhusu kibaka, haijali ni nani wala amekaa upande gani.
Unasgilia nusu fainali ya kombe la losers??? Puu! Aibu naona mm.WANANCHIIIIIIIIIIII
💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
LEO NI KIVUMBI NA JASHO.
TUNATINGA NUSU FAINALI KIBABE.
MADUNDUKA LEO YATALILIA CHOONI
Hivi Iko wapi ile clip akisema "iwapo Uchaguzi utakuwa huru na wa haki WAHUNI wajiandae kukabidhi Dola"?Kibaka ni kibaka tu, hawezi kubadilika.
View attachment 2604987
Mada haihusu legasi.
Ni Kumhusu kibaka, haijali ni nani wala amekaa upande gani.
Una maana serikali za kiafrika zimesheheni vibaka wa kila aina?😂😂😂 kumkamata Mackenzie hawawezi ameuwa alivyotaka, Kenya bhana!
Kwa nini unazidi kushusha hadhi yako kwa kuandika mambo ya uongo hivi. Unapata faida gani kwa kumsingizia marehemu ambaye hawezi kuja kujitetea. JitathminiHii clip ya siku nyingi Sana. Ilitokea enzi za utawala wa nduli jiwe. Huyu afisa ni miongoni mwa washirika wake alikuwa akiwatuma kuwapora watanzania.
Ndiyo maana tukisema jiwe alikuwa muuaji, mtekaji na mporaji muwe mnaelewa.
Hivi Iko wapi ile clip akisema "iwapo Uchaguzi utakuwa huru na wa haki WAHUNI wajiandae kukabidhi Dola"?
Hebu tujikumbushe ndugu Wananchi wa 🇹🇿 👇👇
Maneno mujarabu ya Balozi na Kada maarufu wa Manunuzi ya Binadamu kwenye Soko la Utumwa wa Kisiasa hapo Dodoma.
Hii nchi ikikombolewa taasisi hii iwe katika za mwanzo kuvunjwa na kuundwa upya responsibly.Kuna askari alikuwa anaongea kwa uchungu kuwa bora mwakani astaafu atubu kabla hajafa. Ila hakusema atubu nini.
Unaichukuliaje bangi?