Kibaka mzoefu anatafutwa na polisi

Siku utapoibiwa kitu kinakuwezesha kuishi mjini ndo utajua panaumaje Mkuu. Tunasaka mwizi, wewe unaleta mambo ya Law School? Picha ya mwizi wetu ndo hiyo hapo. Ukimwona tuoneshe sisi tutajua tunafanyaje naye.... Accademics badaye...

Innocent until proven guilty labda ungesema mtuhumiwa wa wizi.., (unless kama ameshahukumiwa na kukubali kosa)
 
I hope ni kweli,maana mtu anaweza kuweka picha ya mtu yoyote kwa sababu zake maalumu.
 

Kuna zawadi yoyote nono iwapo tutafanikisha juhudi za kupatikana kwake?
 


Asante sana Mkuu Kichakoro kwa ushirikiano huu. Tumepata taarifa ya ziada kuwa kofia anayovaa ni aina ya Soksi.
Ingawa mtu anaeza kuwa na aina nyingi za kofia nyumbani, niombe kujua kama huyu ulomuona Zinza alivaa aina gani ya kofia? Je, ilikuwa aina ya Soksi?

Nirudie kusema Hili: kwamba nakushukuru sana kwa ushirikiano huu. Namba yetu ya ofisini ni hii: 0716224944 ukibip tutakupigia.
 
Siku utapoibiwa kitu kinakuwezesha kuishi mjini ndo utajua panaumaje Mkuu. Tunasaka mwizi, wewe unaleta mambo ya Law School? Picha ya mwizi wetu ndo hiyo hapo. Ukimwona tuoneshe sisi tutajua tunafanyaje naye.... Accademics badaye...

Mkuu sheria ndio inatulinda ama sivyo tutakuwa tunaishi kama wanyama na mwenye nguvu kumuonea asiye na nguvu ndio maana hata wewe kwa ustaarabu umekwenda polisi na kufungua file...,

Pole sana kwa kuibiwa na hakuna mtu anayependa vibaka ila mimi nimekukumbusha tu kutumia lugha ambayo kesho au keshokutwa hauwezi kujikuta utakuwa sued for slander.., sababu hata ungeandika anatafutwa kwa tuhuma za wizi ungepungukiwa nini au watu ndio wangemuona wasingekwambia ? (Mkuu ni katika kutendeana haki mkuu sababu hata wewe kesho mtu akikuhisi akakutundika humu kwamba wewe ni mbakaji utapenda ?, wakati angeweza tu kuandika anatafutwa kwa tuhuma za ubakaji)
 
Inawezekana nimeumizwa kiuchumi... na kinachoongea hapa ni hayo maumivu.
Ngoja kwanza tumkamate huyu kibaka afu ndo tuanze accademics....

Nashukuru kwa angalizo hata hivyo... Ubarikiwe kwa moyo wako mzuri.
Chukulia kuwa mimi kumwita huyu bwana mwizi ni tuhuma tayari, hata kama sijatamka neno tuhuma.
Mahakama itakuwa na uhuru wa kusema tuhuma yangu si ya kweli.

Naomba lione hivi, kwamba maneno niliyosema kama kwamba yameipa mahakama kazi ya kuniprove wrong. Mimi najua niko right! So geuza argument yako iseme hivi: AK48 is right until proven wrong by the court! The thief is going to jail UNLESS he returns the camera; or the court justifies the theft.








 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…