Kibali cha kusafirisha maliasili

Kibali cha kusafirisha maliasili

kadurijr

Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
23
Reaction score
19
Wakuu habari hivi gharama za kibali cha maliasili kusafirisha mzigo kutoka Morogoro kwenda Dar inakuaje?
 
Nina milango sita kutoka morogoro kuja dar sasa nilitaka kufahamu gharama za kibali
Nenda Ofisi ya Maliasili ya wilaya ukiwa na copy ya kiwanda ulichotengenezea milango ila kiwe kimesajiliwa pia utoe kibali cha mbao ulizotumia kutengeneza milango. Hapo utapewa TP (Transit Pass) kwa elfu 7au 15 tu.
 
Back
Top Bottom