Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vinatofautiana mkuu ungekuwa specific
Nenda Ofisi ya Maliasili ya wilaya ukiwa na copy ya kiwanda ulichotengenezea milango ila kiwe kimesajiliwa pia utoe kibali cha mbao ulizotumia kutengeneza milango. Hapo utapewa TP (Transit Pass) kwa elfu 7au 15 tu.Nina milango sita kutoka morogoro kuja dar sasa nilitaka kufahamu gharama za kibali
Sio kweli bali kutishana tu ili tusitimize ndoto zetu. Nenda field utakubaliana na mimi.Ukipata info kamili nami nipe jibu .nilishaambiwa laki moja kibali kusafirisha mlango mmoja tu.
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app