Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
True!, kama juzi kati tuu nimezungumzia opinion yangu kumhusu mtu kutofurahia kutoshangiliwa, it was a big deal!, JAB na TCRA wakatushukia kama mwewe anavyonyakua kifaranga cha kuku!, then kauli kama ile kwaPascal Mayalla inasemekana ile kauli yako miaka 15 back ingekuwa ni kauli ya kawaida ila kwa sasa ni tatizo
Japo ni kweli kwenye uandishi wa habari, kuna chawa wengi, ila sio wote ni machawa, we still have some few good ones ambao sio machawa! "Kati ya Wasifiaji wa Rais Wakiwemo Machawa na Wakosoaji wa Rais, Watu Critical, Nani Wanamsaidia zaidi Rais, Serikali Yake?Inawezekana vipi chawa wakatishwa? Hakuna waandishi siku hizi kuna chawa watupu wenye njaa kali
Inatubidi tukubali.akini nawadharau zaidi wanahabari wa bongo