The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
"Tunamalizia pale tulipopaacha 2020". Sijaelewa. Au ilikusudiwa "...pale tulipopaacha 2015"?
Iko hivi, walipopaacha 2015 wanamalizia 2020.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Tunamalizia pale tulipopaacha 2020". Sijaelewa. Au ilikusudiwa "...pale tulipopaacha 2015"?
Halafu kwanini unajifanya kichaa huku una akili timamu?Asante maalim kwa kushiriki
Watanzania tumeamua visiwani tumchague Hussein
Na Tanzania tunamchagua Rais Magufuli
Babalao huku linaomba msaada wa jeshi !Eeeeh unauona ni uchafu?? Tunakuonyesha kuwa CCM Baba Lao!!
Ni kweli kabisa,hapo kuna dada wa kichaga jamaa fulani wa kinyakyusa ambao wote hata si wakazi.Mimi nawafahamu sana wakwe zangu.WENGI WAO HAPO NI WATANGANYIKA WATALII WA MIKUTANO YA CCM NA WAFANYAKAZI WA SEKTA ZA SERIKALI VIKOSI VYA ULINZI NA WANAFUNZI WA SHULE WANAOLAZIMISHWA SIO WAZANZIBARI WAZALENDO)🙂🙂:
ANGALIA SURA ZAO🙂 UNADHANIA HAWA NI WAZANZIBARI???
View attachment 1569014
Na wana nyuso za shari kama kwamba ni askari kanzu.WENGI WAO HAPO NI WATANGANYIKA WATALII WA MIKUTANO YA CCM NA WAFANYAKAZI WA SEKTA ZA SERIKALI VIKOSI VYA ULINZI NA WANAFUNZI WA SHULE WANAOLAZIMISHWA SIO WAZANZIBARI WAZALENDO)🙂🙂:
ANGALIA SURA ZAO🙂 UNADHANIA HAWA NI WAZANZIBARI???
View attachment 1569014
Nahisi yatajirudia ya nyuma. Kuporwa ushindi.Self Zanzibar ni yake. Ukweli haubadiliki
Mmebeba mamluki watanganyika kuja kuongeza vichwa lkn bado havifui dafu kwa maalim Seif.....
Time will tell.....or else....