Taratibu, dunia inaanza kuamka na kuona ukweli. Maandamano ya maelfu ya watu yamefanyika Ubelgiji kulaani vita ya kimbari ya Gaza huku ukiitaka serikali kubadili msimamo wake wa ukimya na kuunga. mkono jinai hii. Si ajabu nchi nyingine zenye watu wenye akili na utu kubadilika na kuanza kulaani jinai hii.
Ila wanachokifanya Israel kwa kisingizio cha kuwaangamiza Hamas, nadhani kimepita kwenye kiwango cha uonevu. Haiwezekani watu wanauwa hovyo tu kama nzi au mbu! Na dunia imenyamaza tu kimya.
Nyerere na wenzake walikuwa sahihi kabisa kuwatenga hawa Mayahudi enzi za utawala wao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.