Kibao kilivyogeuka

Being a President is tantamount to being a dustbin

It is not easy to maintain a clean file.

Samia should only do what she thinks is right and not what others thinks is right neither trying to impress anyone.
JPM long realized this and he frequently insisted he did not mind to please anyone, aside from doing what he deemed right for the nation
 
Ngabu uko sahihi!
Huyu mama ameanza kuona Kiti cha Urais ni cha Moto!
Na asipobadilisha msimamo wake kuhusu CHADEMA na Mhe. Freeman Mbowe itagharimu Urahisi wake!!
 
A great dictatress of our time unfortunately from Tanzania!
 
Wewe ni chizi mkubwa tu na unachoongea hapa ni uharo!
Kifo cha Chacha Wangwe kinahusikaje hapa?mungu/miungu wako ndo wanaweza kutoa hukumu ya kipumbavu kama hii!!!
But not The God Almighty Who punished JPM The Dictator of our time!!!
 
Wewe uko SK Gang, na mmeshamuingiza mama mkenge.
 
Wewe ni chizi mkubwa tu na unachoongea hapa ni uharo!
Kifo cha Chacha Wangwe kinahusikaje hapa?mungu/miungu wako ndo wanaweza kutoa hukumu ya kipumbavu kama hii!!!
But not The God Almighty Who punished JPM The Dictator of our time!!!
Moyo wa mtu msitu.. Pole sana kwa kuendelea kutetea usichokijua.
 
Inawezekana nchi ya Tanzania ni ngumu sana kuiongoza. Na hii inatokana na sera ya ujamaa ambayo ilitumika mpaka miaka ya 90.

Sasa hizi element za ujamaa ndio zinaleta shida ndani ya nchi.

Mabadiliko hayazuiliki, bali yanacheleweshwa. Kizazi cha ujamaa kikiisha ndo kutakuwa na mabadiliko ya kweli Tanzania.
 
Kitendo cha kusema yeye na magufuli ni kitu kimoja kasoro tuu yeye ni mwanamke alimaanisha kila kitu kitabia na kiutendaji hivyo sishangai hilo
 
Chadema siku zote huwa wanaombea nchi isitawalike ndiyo maana huwa wanafurahia sana yanapotokea majanga nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…