Sure hakustahili kabisa ni kama tusi Fulani,ila rekebisha alisema kwenye maumbile ya kike.She didn’t need to say that! We knew it already.
Kosa 2
"Rais huwa hakosei"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure hakustahili kabisa ni kama tusi Fulani,ila rekebisha alisema kwenye maumbile ya kike.She didn’t need to say that! We knew it already.
JPM long realized this and he frequently insisted he did not mind to please anyone, aside from doing what he deemed right for the nationBeing a President is tantamount to being a dustbin
It is not easy to maintain a clean file.
Samia should only do what she thinks is right and not what others thinks is right neither trying to impress anyone.
Na watasema sana hawa.Wanabavicha sasa wana nena kwa lugha
Wametekenywa mbavu kidogo kelele zao kama vile nchi inafutikaNa watasema sana hawa.
Nchi IPO kwenye mikono salama ya Mama Samia.
Wakati tuko raha mustarehe.Wametekenywa mbavu kidogo kelele zao kama vile nchi inafutika
Ngabu uko sahihi!View attachment 1867792
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.
Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.
Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.
Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].
Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!
Hizo ndo standard za baadhi ya Watanzania 🤣.
No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
Mataga nao walikuwa Wana Raha[emoji1787]Wakati tuko raha mustarehe.
Nchi inakwenda, game ya simba na yanga ndio inamalizika. Amani na furaha.
Wapiga domo waendelee
Walipotajwa CNN, BBC, Al Jazeera wakajiona babkuuubwa!Wakati tuko raha mustarehe.
Nchi inakwenda, game ya simba na yanga ndio inamalizika. Amani na furaha.
Wapiga domo waendelee
A great dictatress of our time unfortunately from Tanzania!View attachment 1867792
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.
Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.
Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.
Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].
Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!
Hizo ndo standard za baadhi ya Watanzania 🤣.
No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
Wewe ni chizi mkubwa tu na unachoongea hapa ni uharo!Vyovyote atakavyoitwa yeye hana cha kupoteza, kikubwa asimamie sheria, katiba na kuwadhibiti wote waliopanga au wanaopanga kuharibu amani ya nchi kwa kisingizio cha siasa uchovu. Kifo cha Chacha wangwe na machozi ya familia yake visingeweza kupita hivi hivi miaka na miaka. Bila shaka Mungu kaamua kutoa hukumu hapa hapa duniani.
Shangia au changia? Utundu Lissu huo
Wewe uko SK Gang, na mmeshamuingiza mama mkenge.View attachment 1867792
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.
Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.
Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.
Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].
Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!
Hizo ndo standard za baadhi ya Watanzania 🤣.
No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
Moyo wa mtu msitu.. Pole sana kwa kuendelea kutetea usichokijua.Wewe ni chizi mkubwa tu na unachoongea hapa ni uharo!
Kifo cha Chacha Wangwe kinahusikaje hapa?mungu/miungu wako ndo wanaweza kutoa hukumu ya kipumbavu kama hii!!!
But not The God Almighty Who punished JPM The Dictator of our time!!!
Atafika hadi 2030.
Umeamua kuwa mtabiri.Huyu mama ataacha legacy mbaya Sana; ngoja tuone!
Kitendo cha kusema yeye na magufuli ni kitu kimoja kasoro tuu yeye ni mwanamke alimaanisha kila kitu kitabia na kiutendaji hivyo sishangai hiloView attachment 1867792
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.
Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.
Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.
Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].
Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!
Hizo ndo standard za baadhi ya Watanzania [emoji1787].
No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.