Kibao kilivyogeuka

Alianza vizuri sana, ila baadae akapiga u-turn na kuanza kukumbatia dhulma!.
Huwezi kuzuia shughuli halali za kisiasa za vyama vya siasa halafu ukadhani unaheshimu kiapo chako cha uraisi cha kulinda katiba.

Sasa ameanza kubambikizia watu kesi kitu ambacho miezi miwili iliyopita aliagiza kisifanyike.
 
Mama wa kambo alisifiwa kwa kutenda haki na kuamua kufuata katiba. Kama ameamua kuiga tabia za yule dhalimu ni lazima apewe ukweli wake. Hakuna mtu atamsifia kwa kwenda kinyume na katiba. Mikutano ya siasa ya ndani na nje iko kisheria, anapozuia na huku chama chake kikiendelea hilo hakuvumiliki. Haya wanayokutana nayo ni matokeo ya yeye kuacha sheria na kutaka kuwaridhisha sukuma Gang.
 
JPM long realized this and he frequently insisted he did not mind to please anyone, aside from doing what he deemed right for the nation

Was he doing right?
 
Atafika hadi 2030.

Asipofuata sheria atajikuta kwenye wakati mgumu. Kizazi kimebadalika, mazingira ya kukipendelea chama chake na kudhani atabaki na furaha yamepita.
 
Chadema inaponzwa na wapuuzi kama Tundu Lissu.
Nyie ndio mnampotosha mama Samia. Ushauri Bora kwa Mh. Rais akutane na wapinzani awasikilize Tena Kila Chama kwa wakati wake wakubaliane mambo ya msingi na namna ya kwenda mbela najua ajenda kuu inaweza kuwa KATIBA aachane na wapambe ambao kwao ni vyeo kwanza na hawaoni mbele zaidi ya maslahi ya matumbo yao.
 
Chadema inaponzwa na wapuuzi kama Tundu Lissu.
Nyie ndio mnampotosha mama Samia. Ushauri Bora kwa Mh. Rais akutane na wapinzani awasikilize Tena Kila Chama kwa wakati wake wakubaliane mambo ya msingi na namna ya kwenda mbela najua ajenda kuu inaweza kuwa KATIBA aachane na wapambe ambao kwao ni vyeo kwanza na hawaoni mbele zaidi ya maslahi ya matumbo yao.
NI LAZIMA CCM wakubali kuwa hii Nchi sio ya baba yao Ni ya watanzania wote na wa vyama vyote na wote Wana sehemu katika kuamua mustakabali wa NCHI YETU.
 
Tathmini safi
 
Chadema inaponzwa na wapuuzi kama Tundu Lissu.
Nyani Ngabu unakosea sana, huyu ni shujaa wa upinzani. Hatuna mwingine mbali na yeye.

Ukiwa na baba kipofu, mjinga, mpumbavu, gaidi utamwita nani ? Kaka? Kiuhalisia kazi ipo.
 
Ngabu uko sahihi!
Huyu mama ameanza kuona Kiti cha Urais ni cha Moto!
Na asipobadilisha msimamo wake kuhusu CHADEMA na Mhe. Freeman Mbowe itagharimu Urahisi wake!!

Kama huyo Mama ataendelea kusikiliza hao wazee wanaojiita system lazima atakuwa kwenye wakati mgumu. Enzi za ccm kutamba kama chama chenye nguvu zimepita. Hizo mbinu za kuonea wapinzani, na kuwabambikia kesi zilifanikiwa enzi za Mahita karne iliyopita, karne hii ina matakwa na mitazamo tofauti kabisa. Huyo utoto waliofanya wa kumbambikia Mbowe shutuma za ugaidi haziwezi kuzuia upatikanaji wa katiba mpya.
 

Hawa ni wapuuzi tu,mama anaamini katika utawala wa sheria hawezi ingili utendaji wa vyombo vingine .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…