Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Alianza vizuri sana, ila baadae akapiga u-turn na kuanza kukumbatia dhulma!.
Huwezi kuzuia shughuli halali za kisiasa za vyama vya siasa halafu ukadhani unaheshimu kiapo chako cha uraisi cha kulinda katiba.
Sasa ameanza kubambikizia watu kesi kitu ambacho miezi miwili iliyopita aliagiza kisifanyike.