Hawaamini kuwa anatumia choo cha ndoo
Huoni wewe?Was he doing right?
Basi tulieni tuendelee na maishaSio mara ya kwanza yeye kwenda huko mahabusu, na wala haitakuwa mara ya mwisho chini ya utawala wa chama hiki kilichopoteza mvuto kwenye jamii. Hatapelekwa jela tu iwapo atakuwa kibaraka kama Zito au Lipumba, lakini katika mazingira ambayo chama chake kina ushawishi mkubwa kiasi hiki lazima abambikiwe kesi sana.
He tried his best ,his shortfall as human being must be accepted
Kwa hili hata mm nastahili lawama. Nilimpa sifa za kinafiki huku nikijua kwa hakika kuwa ngeli yake ni ya kawaida Sana.Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].
1. Mimi siyo mshauri wa SamiaNyie ndio mnampotosha mama Samia. Ushauri Bora kwa Mh. Rais akutane na wapinzani awasikilize Tena Kila Chama kwa wakati wake wakubaliane mambo ya msingi na namna ya kwenda mbela najua ajenda kuu inaweza kuwa KATIBA aachane na wapambe ambao kwao ni vyeo kwanza na hawaoni mbele zaidi ya maslahi ya matumbo yao.
Basi tulieni tuendelee na maisha
Sioni chochote boss, hebu nifanye nione.Huoni wewe?
🤣🤣Kwa hili hata mm nastahili lawama. Nilimpa sifa za kinafiki huku nikijua kwa hakika kuwa ngeli yake ni ya kawaida Sana.
Mkuu Nyani Ngabu ukweli ni kwamba tafsiri ya aina ya Utawala (Rais na Viongozi wa Serikali yake) nchini hutolewa na Viongozi wa kisiasa wa upinzani.View attachment 1867792
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.
Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.
Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.
Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].
Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!
Hizo ndo standard za baadhi ya Watanzania [emoji1787].
No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
GoodBeing a President is tantamount to being a dustbin
It is not easy to maintain a clean file.
Samia should only do what she thinks is right and not what others thinks is right neither trying to impress anyone.
Lini tuliwahi kutulia? Huu mziki ni fuilblast kama mmezeeka kaeni pembeni acheni kutumia vyombo vya dola kuwabeba. Ccm sio chama cha kizazi hiki, kinalazimisha kutawala kwa mbinu za kizee ndio maana kunakuwa na mivutano isiyo ya lazima. Si mkubali tu kama walivyokubali Ottu jazz na Silinde kuwa kizazi hiki kinataka nyimbo za kina Ally Kiba, Diamond nk?
Kabla hujaona ya cdm yatazame ya ccm kwani huko kumejaa uozo na kumeoza! Hiyo taasisi ya urais imevamiwa na wasaka vyeo pamoja na mafisadi! Hilo kwako siyo tatizo Bali cdm ndio kichaka Cha kujificha ili uachie kimba linalokubana! Amka na acha kuimba mapambio yaliyopitwa na wakati kwani wote tunaumia!Chadema inaponzwa na wapuuzi kama Tundu Lissu.
Mkuu tindo ITAPENDEZA ukaelimisha jamii ya JF "mbinu za utawala wa kizazi hiki" kwa mifano hai ya Chama cha siasa kinachotumia hizo mbinu katika uongozi wake
Wameponzwa kivipi? Mpuuzi ni wewe kudai katiba mpya ni kuponzwa na Lisu? hapo vina uhusiano gani na lisu?Chadema inaponzwa na wapuuzi kama Tundu Lissu.
Mikono salama ni kuwabambikia kesi wapinzani?Na watasema sana hawa.
Nchi IPO kwenye mikono salama ya Mama Samia.
Tanzania imedumaa kiuchumi licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, sababu kuu ni Serikali ya CCM kutumia pato kubwa la Taifa kudidimiza demokrasia badala ya maendeleoMbinu za kisasa watu wanakuunga mkono kwa ridhaa yako kutokana na ushawishi wako kwao. Lakini mambo ya kusema tuna dola lazima tubaki madarakani ni mambo so outdated. Nenda hapa Kenya, kila mara wana vyama tofauti tofauti kuendana na wakati, na Kenya wanatuzidi kila kitu kuanzia uchumi, siasa, michezo nk kasoro ukubwa wa eneo.
Wapo watu hunufaika kupitia uonevu wake kwa kuandaa bajeti za operation za kudidimiza demokrasia wapate kujilipa poshoAlianza vizuri sana, ila baadae akapiga u-turn na kuanza kukumbatia dhulma!.
Huwezi kuzuia shughuli halali za kisiasa za vyama vya siasa halafu ukadhani unaheshimu kiapo chako cha uraisi cha kulinda katiba.
Sasa ameanza kubambikizia watu kesi kitu ambacho miezi miwili iliyopita aliagiza kisifanyike.