Kibao kilivyogeuka

Kibao kilivyogeuka

Hawaamini kuwa anatumia choo cha ndoo

Sio mara ya kwanza yeye kwenda huko mahabusu, na wala haitakuwa mara ya mwisho chini ya utawala wa chama hiki kilichopoteza mvuto kwenye jamii. Hatapelekwa jela tu iwapo atakuwa kibaraka kama Zito au Lipumba, lakini katika mazingira ambayo chama chake kina ushawishi mkubwa kiasi hiki lazima abambikiwe kesi sana.
 
Sio mara ya kwanza yeye kwenda huko mahabusu, na wala haitakuwa mara ya mwisho chini ya utawala wa chama hiki kilichopoteza mvuto kwenye jamii. Hatapelekwa jela tu iwapo atakuwa kibaraka kama Zito au Lipumba, lakini katika mazingira ambayo chama chake kina ushawishi mkubwa kiasi hiki lazima abambikiwe kesi sana.
Basi tulieni tuendelee na maisha
 
Ama kweli siasa si hasa. Alijisemea Richard Mabala. Mabala wa mabalaa.....
 
He tried his best ,his shortfall as human being must be accepted

We don't need to keep on trying leaders in this outdated constitution, that's why we call for a new constitution, where by leaders shortfalls will be minimised. Right?
 
Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].
Kwa hili hata mm nastahili lawama. Nilimpa sifa za kinafiki huku nikijua kwa hakika kuwa ngeli yake ni ya kawaida Sana.
 
Nyie ndio mnampotosha mama Samia. Ushauri Bora kwa Mh. Rais akutane na wapinzani awasikilize Tena Kila Chama kwa wakati wake wakubaliane mambo ya msingi na namna ya kwenda mbela najua ajenda kuu inaweza kuwa KATIBA aachane na wapambe ambao kwao ni vyeo kwanza na hawaoni mbele zaidi ya maslahi ya matumbo yao.
1. Mimi siyo mshauri wa Samia
2. Hujui maana ya katiba mpya
3. Wewe ni bendera fuata upepo

nini cha kukusaidia
a. Jaribu kuwa msomaji wa makala
b. Achana na chadema
 
Basi tulieni tuendelee na maisha

Lini tuliwahi kutulia? Huu mziki ni fuilblast kama mmezeeka kaeni pembeni acheni kutumia vyombo vya dola kuwabeba. Ccm sio chama cha kizazi hiki, kinalazimisha kutawala kwa mbinu za kizee ndio maana kunakuwa na mivutano isiyo ya lazima. Si mkubali tu kama walivyokubali Ottu jazz na Silinde kuwa kizazi hiki kinataka nyimbo za kina Ally Kiba, Diamond nk?
 
Rais Samia hajageuka, ni chadema ndio wamegeuka baada ya kuona mama hawanyenyekei kama walivyotarajia.
Rais aliahidi kukutana nao, wao wakataka wampangie tarehe ya kukutana, uliona wapi ujinga kama huo?
Walidhani kwa kuwa ni mpole, tofauti na Magufuli aliyekuwa mkali na mwenye misimamo isiyoyumba, basi wangetumia huo mwanya kumwendesha wanavyotaka. Matokeo yake wamekuta ni mpole lakini ana msimamo, ndo hapo wakaamua kulianzia: wakamzingua kwa kumpa ultimatums, akajibu mapigo, sasa ni kuzinguana tu.
 
View attachment 1867792

Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.

Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.

Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.

Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].

Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!

Hizo ndo standard za baadhi ya Watanzania [emoji1787].

No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
Mkuu Nyani Ngabu ukweli ni kwamba tafsiri ya aina ya Utawala (Rais na Viongozi wa Serikali yake) nchini hutolewa na Viongozi wa kisiasa wa upinzani.

Tangu vyama vya upinzani vianze shughuli za kisiasa, viongozi wake hawajawa na "Agenda ya Kitaifa" ya kuviwezesha vyama hivyo kuaminiwa na wananchi kukabidhiwa Dola.

Kinacho onekana na dhahiri ni viongozi wa vyama vya upinzani kupinga kila litendwalo na watawala. Mbaya zaidi ni kudai demokrasia, haki na uhuru, bila ya wao kuishi katika dhana/itikadi hizo. Mara kadhaa wameshindwa kuheshimu Katiba za vyama vyao lakini wamekuwa mbele kudai Katiba mpya.

Mama SSH, kama Rais wa Serikali ya CCM, anaongoza na kutekeleza yaliyoanishwa kwenye Ilani ya Uchaguzi. Hivyo basi lawama zinapaswa kuelekezwa kwenye chama kwa hoja. Hoja zenyewe ziwe ni za Sera mbadala na si lawama.
 
Being a President is tantamount to being a dustbin

It is not easy to maintain a clean file.

Samia should only do what she thinks is right and not what others thinks is right neither trying to impress anyone.
Good
 
Lini tuliwahi kutulia? Huu mziki ni fuilblast kama mmezeeka kaeni pembeni acheni kutumia vyombo vya dola kuwabeba. Ccm sio chama cha kizazi hiki, kinalazimisha kutawala kwa mbinu za kizee ndio maana kunakuwa na mivutano isiyo ya lazima. Si mkubali tu kama walivyokubali Ottu jazz na Silinde kuwa kizazi hiki kinataka nyimbo za kina Ally Kiba, Diamond nk?

Mkuu tindo ITAPENDEZA ukaelimisha jamii ya JF "mbinu za utawala wa kizazi hiki" kwa mifano hai ya Chama cha siasa kinachotumia hizo mbinu katika uongozi wake
 
Chadema inaponzwa na wapuuzi kama Tundu Lissu.
Kabla hujaona ya cdm yatazame ya ccm kwani huko kumejaa uozo na kumeoza! Hiyo taasisi ya urais imevamiwa na wasaka vyeo pamoja na mafisadi! Hilo kwako siyo tatizo Bali cdm ndio kichaka Cha kujificha ili uachie kimba linalokubana! Amka na acha kuimba mapambio yaliyopitwa na wakati kwani wote tunaumia!
 
Mkuu tindo ITAPENDEZA ukaelimisha jamii ya JF "mbinu za utawala wa kizazi hiki" kwa mifano hai ya Chama cha siasa kinachotumia hizo mbinu katika uongozi wake

Mbinu za kisasa watu wanakuunga mkono kwa ridhaa yao kutokana na ushawishi wako kwao. Lakini mambo ya kusema tuna dola lazima tubaki madarakani ni mambo so outdated. Nenda hapo Kenya, kila mara wana vyama tofauti tofauti kuendana na wakati, na Kenya wanatuzidi kila kitu kuanzia uchumi, siasa, michezo nk kasoro ukubwa wa eneo.
 
Mbinu za kisasa watu wanakuunga mkono kwa ridhaa yako kutokana na ushawishi wako kwao. Lakini mambo ya kusema tuna dola lazima tubaki madarakani ni mambo so outdated. Nenda hapa Kenya, kila mara wana vyama tofauti tofauti kuendana na wakati, na Kenya wanatuzidi kila kitu kuanzia uchumi, siasa, michezo nk kasoro ukubwa wa eneo.
Tanzania imedumaa kiuchumi licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, sababu kuu ni Serikali ya CCM kutumia pato kubwa la Taifa kudidimiza demokrasia badala ya maendeleo
 
Alianza vizuri sana, ila baadae akapiga u-turn na kuanza kukumbatia dhulma!.
Huwezi kuzuia shughuli halali za kisiasa za vyama vya siasa halafu ukadhani unaheshimu kiapo chako cha uraisi cha kulinda katiba.

Sasa ameanza kubambikizia watu kesi kitu ambacho miezi miwili iliyopita aliagiza kisifanyike.
Wapo watu hunufaika kupitia uonevu wake kwa kuandaa bajeti za operation za kudidimiza demokrasia wapate kujilipa posho
 
Back
Top Bottom