William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Baada ya tukio linalodhaniwa la kutekwa polepole wakili msomi alitakiwa kufanya kilakitu kuhakiki ukweli wa taarifa mfano.
1. Kwenda eneo la tukio na kupata ushaidi mfano.
A. Kuna camera
B. Damu ilitapakaa pale ni ya polepole kweli na sio ya mbuzi au kuku.
C. Kutafuta wapelelezi binafsi ili kupitia ushaidi wowote kuhusu watu wanaosemwa. Si vizuri sana kusema vitu bila ushaidi.
Hapo vipimo vya DNA, alama za vidole, mabaki ya vinyweleo, ngozi na damu vingetuma maabala kubwa duniani.
Nguo, matone ya jasho, machozi na ata mate.
Soma Pia: Humphrey Polepole ametekwa leo asubuhi Oktoba 6
Kama hana au hakufanya juhudi yoyote ile kupata ushaidi basi aache kuisumbua Mahakama.
Ndugu wànasema Polepole ana cheep wangesema alipo moja kwa moja basi.
Kwenye Siasa Vijana jiepusheni unaweza kuwa unampelekea taarifa kubwa ukizani mwenzako kumbe ni kubwa la maadui baadae unapotea.