William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Washauri wasimuue tu. Sababu watapata pigo ambalo hawatakaa walisahau hadi wanazikwa.Fact 1.
Ili Habeas Corpus ya Kibatala iweze kufanya kazi Kibatala anatakiwa kuthibitisha Polepole yupo ndani ya vyombo vya kiserikali.
Fact 2.
Kisheria kujua kitu si hoja. Hoja ni kuthibitisha kitu.
Fact 3.
Mpaka sasa Kibatala hajathibitisha Polepole yupo mikononi mwa vyombo vya kiserikali.
Just facts.
Haya maneno yanaendana na mpango maalum au ni maneno ya wishful thonking tu?Washauri wasimuue tu. Sababu watapata pigo ambalo hawatakaa walisahau hadi wanazikwa.
Mkuu una uthibitisho upi kuwa Polepole kadakwa au umehisi tuPolepole mwenyewe alishayasema sana, na kaishia kudakwa kijinga tu.
Mkuu,Mkuu una uthibitisho upi kuwa Polepole kadakwa au umehisi tu
Wakili msomi. Usijalimu kumuamini mtu brooo. Saanane alimwamini mno mbowe.Unganisha akili na Msomi kabla hujapanua mdomo.
Kimahakama ni vyema kuandaa uthibitisho. Imidietry.Mkuu,
Uthibitisho ni nini? Na unathibitishaje huu ni uthibitisho na huu si uthibitisho?
Na uthibitisho kuwa huu ni uthibitisho unauthibitishaje?
Unataka kusema ndugu zake wote, mpaka mama yake wanaigiza?
View: https://youtu.be/06bTLeoAJCg?si=QjUPo5xOFIRsxjCF
Sawa, call it kijinga...lakini mimi siamini unachoamini wewe, narudia tena WASITHUBUTU HATA KUJARIBU KUMUUA POLEPOLE... mwisho wa kunukuu.Haya maneno yanaendana na mpango maalum au ni maneno ya wishful thonking tu?
Maana kama ni mameno ya projection tu hata Polepole mwenyewe alishayasema sana, na kaishia kudakwa kijinga tu.
Kibatala ana uthobitisho kuwa Polepole yuko mikononi mwa vyombo vya serikali?Kimahakama ni vyema kuandaa uthibitisho. Imidietry.
Kama huuamini mfumo unaenda kufanyaje mahakamani?
Ukifikiri sana utanielewa.