PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Kingai ilimbana hadi ikaanza kumtoka ikabidi amuombe Jaji amruhusu kwenda maliwatoSheria tamu sana hasa ukiijua nje ndani.
Mtu unaweza kupigwa maswali hadi haja ndogo inakubana kila baasa ya dakika 15.😂